Hii misemo imenichosha!

tizama vizuri typing errors zako...excellent amejibu kulingana na wewe ulivyoandika.

hahahahahahihihiii
si mimi ni kasim kamchina
kamekosea kana batan ndogo na mie nina
vidole vipana! Ulimi
unateleza ijekuwa
cm ya mchina lol
 
kwa nini ikuchoshe mkuu??? au ndio
Asiye na mengi ana machache.
usichoke kwani
maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge. na
pia palipo na wengi hapahalibiki neno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom