Hii Mimba ya Tunda ni ya Member mwenzetu na rafiki yangu Hance Mtanashati, hongera sana kijana

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,642
18,643
Matunda ya Hance Mtanashati yanaanza kuonekana..

26068872_2007687926168188_1978562468284203008_n.jpg

23823247_153022852114023_2337187242453237760_n.jpg

26181924_170295930395064_3993162052939022336_n.jpg
 
Mange Kimambi ameshasema mimba ni ya Diamond
Who is Mange Kimambi...?? Huyu mnayemfuatilia anayeishi kama digidigi huko kwa kujikondesha ili aendelee kuzeeka kwa kujiuza kwa wazungu ndiyo amekuwa source of the Information... Hakuna alichokisema cha kweli kwa Diamond kikawa kweli sema ana chuki binafsi tu na Huyu Kijana .....
 
Mange Kimambi ameshasema mimba ni ya Diamond
Kwahyo mange kimambi amekuwa ndio kila kitu kwenu!!!??
Huu ujinga Wa hali ya juu akili zenu na nguvu kuzielekezea kwa mange kimambi..

Yaan akili zenu anaziremote mange kimambi.. Hiki kizazi kina shida sana
 
Who is Mange Kimambi...?? Huyu mnayemfuatilia anayeishi kama digidigi huko kwa kujikondesha ili aendelee kuzeeka kwa kujiuza kwa wazungu ndiyo amekuwa source of the Information... Hakuna alichokisema cha kweli kwa Diamond kikawa kweli sema ana chuki binafsi tu na Huyu Kijana .....
...Mapemaaa alisemaga mtoto aliyezaa Hamisa ni wa Daimond....watu wakatoa povu
..Akasemagea mama Daimond anaolewa na kiben 10-...povu jingine......nk nk nk
na ikawa usiku ikawa mchana ikawa kweli.....
 
Back
Top Bottom