kiukweli mikoa ming tanzania kwa upand wa vijijini hali hazitifautiana xana coz nimejionea ruvuma,iringa, mbeya, mtwara, morogoro, dodoma xo tucidangabywe eti ni mtwara vijijini tu ndo hali mbayaUnazungumzia hapo Mtwara mjini? Nenda huko vijijini mkuu huwezi amini kama uko Tanzania.Umasikini unatisha!
Mikoa hiyo imerogwa na ccm ila Lindi na Ntwara zitachomoka maana wamejua maana ya upinzani. Hakika Ruvuma kama mtaendelea kuwachagua Jenister. kaka Komba na Kawawa mnapaswa kuhurumiwa. mtabaki huko huko nyuma kwenye mkia
Mikoa masikini na isiyoendelea Tanzania hii japo kuna mingine wanatokea wapenda sifa.
1. Kagera
2. Lindi
3. Rukwa
4. Kigoma
5. Singida
6. Tabora
7. Mara
8. Ruvuma
9. Pwani
Mikoa hiyo nichoka mbaya kuliko hata huu
10. Mtwara.
bila shaka wew upo vizuru coz huo ni umaskini wa watabzania pia xo toa mikakati ili watu wajikwamue.coz inawezekana tujajikita ktk iyo mikoa kwa ujumla wake wakati huohuo kuna watu wanapata mlo mmoja kwa siku ktk mikoa iyo unayodhani imeendeleo kwan maendeleo hayapimwi kwa muonekano wa mkoa tu bali na maisha halisi ya wakazi wake
cha msingi vijana wajitume ili kujikwamua na dimbwi la umaskiniMkoa unapokuwa masikini na hali ya uchumi na gharama za maisha pia zinapanda mf . Mkoa wa mtwara vyakula ni bei ghali ihali maisha ni duni.
habari za majukumu wana-jf,.
Hapa nazungumzia mikoa ya ruvuma, lindi na mtwara,.
Siyo jambo la siri mikoa hii ipo nyuma sana kimaendeleo au naweza kusema imesahaulika katika sura ya nchi yetu,.
Huwezi kulinganisha mikoa hii na mikoa mingine tanzania kama kilimanjaro, mbeya na mingine ambayo imepiga hatua katika suala la maendeleo, uchumi na hata elimu,.
Nalitaka kujua kulikoni kwa hii mikoa kuwa nyuma katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo,.
Lengo la huu uzi siyo lingine zaidi ya kufahamu sababu za hii mikoa kuwa nyuma kwa hiyo mizaha na matusi hayatakuwa na tija katika kujuzana.
Mikoa masikini na isiyoendelea Tanzania hii japo kuna mingine wanatokea wapenda sifa.
1. Kagera
2. Lindi
3. Rukwa
4. Kigoma
5. Singida
6. Tabora
7. Mara
8. Ruvuma
9. Pwani
Mikoa hiyo nichoka mbaya kuliko hata huu
10. Mtwara.
Sielewi mwansisha mada na wachangiaji wengine wako ulimwengu huu ama ahera...Mtwara unaiweka kundi la mikoa duni ?tena kwa nyakati hizi....Hahahaaaaa, inafurahisha!! Macho na masikio ya serikali yetu hii na dunia nzima yanaelekezwa Mtwara...Ujeuri wa viongozi wengi sasahivi ni kwasababu ya Mtwara...
"Mtwara Kuchele"
ongeza na Kigoma na Rukwa hapo
Tatizo ni islamic culture..
Sijui ni vigezo gani umetumia lakini nafikiri Ruvuma na Kagera una ugomvi nao. Hawastahili kuwemo ktk kundi hili kwani wananchi wake (majority) angalau wanaweza kupata mahitaji ya msingi (Chakula, malazi, na makazi ya kuridisha, n.k ) kwa mwaka mzima bila kusumbuka sana ukilinganisha na mikoa kama vile Dodoma ambao haumo kwenye orodha yako. Nimetembelea mikoa yote mitatu na mingine ktk orodha yako kwa kweli hawastahili kuwemo hasa Kagera kuipa namba moja kwa umaskini umebugi (labda kama kuna mhaya alikutapeli kimapenzi maana kwa mambo hayo hawajambo, hasa ukiwaendea macho juu). Wanaweza pia kulipia mahitaji ya msingi kama elimu kwa watoto wao nk
Habari za majukumu wana-Jf,.
Hapa nazungumzia mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara,.
Siyo jambo la siri mikoa hii ipo nyuma sana kimaendeleo au naweza kusema imesahaulika katika sura ya nchi yetu,.
Huwezi kulinganisha mikoa hii na mikoa mingine Tanzania kama Kilimanjaro, Mbeya na mingine ambayo imepiga hatua katika suala la maendeleo, uchumi na hata elimu,.
Nalitaka kujua kulikoni kwa hii mikoa kuwa nyuma katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo,.
Lengo la huu uzi siyo lingine zaidi ya kufahamu sababu za hii mikoa kuwa nyuma kwa hiyo mizaha na matusi hayatakuwa na tija katika kujuzana.