evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,999
- 9,961
Tutulie hayo ndio matumizi ya tozo zetu tunazokatwa kwenye Simu.
Hapo Dodoma kuna watoto wa ombaomba kibao wanashinda njaa.
Wao wanashindana Kula wali nyama.
Michezo mingine ni kama ya kufuru kwenye nchi masikini kama Tanzania
Hapo Dodoma kuna watoto wa ombaomba kibao wanashinda njaa.
Wao wanashindana Kula wali nyama.
Michezo mingine ni kama ya kufuru kwenye nchi masikini kama Tanzania