Hii michezo ya wabunge jijini Dodoma

Hii michezo ya wabunge jijini Dodoma

Hakuna afya hapo..

Hao jamaa zako magonjwa ya moyo na uzito kupitiliza hayawezi kuwaacha salama, naona wamejichagulia ile michezo wanayoipenda!.
Asilimia kubwa afya mgogoro

Ova
 
Maisha yapo tofauti Sana kuna wapiga Kura wao wanatafuta mlo mmoja kwa siku.
 
Wabunge wameshindana kukimbia wakiwa kwenye magunia

Kuwanywa soda haraka

Kukimbia na buble kwenye kijiko kikiwa mdomoni

Kula wali nyama haraka

Kukimbiza [emoji215]

Kuvuta kamba

USSR View attachment 2498934View attachment 2498935View attachment 2498936View attachment 2498937View attachment 2498938View attachment 2498939View attachment 2498940View attachment 2498941

Sent using Jamii Forums mobile app
Waache wajifurahishe hiki ni kipindi chao cha mwisho. Aliye waweka kesha sahaulika.
Sasa hatutegemei tena mbeleko ya tume ya uchaguzi na kuiba mabox ya kura.
 
Back
Top Bottom