Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,468
HII MBEYA UMEME VIPI?
Ndagafijo
Nimetoka zangu huko visiwani nyumbani kwa mama wa nchi nikasema walau nijivinjari huku bara, ili kusaka tonge ili yule bidada mrembo asiye na doa, nimmilikiye asije nikimbia licha ya subra na uvumilivu alojaliwa na manaan.
Sio hilo tu je huyu binti yake ambaye , ambaye akitoka kwa uzuri mama yangu mzazi yeye ndio anafuatia katika dunia hii je angelikula wapi bila ya mimi baba yake kuvuja jasho?
Nikajichimbia dar nimebamizwa na joto la mwendokasi hapo mpaka ubongo ukachemka ipasavyo ,nikashuka songea hapo kuna vijimambo nilikuwa nachimba na project kadhaa wa kadhaa kuhusu vita vya maji maji na masapta sapta mengine kedekede.
Nikakwea Bus mpaka kwa wanyakyusa, Ndagafijo, kule Green City, hivi sijui huu ubize nlio nao wa kufatilia kuhusu tafiti zangu ndio ili tonge liende mdomoni, nasahau kufatilia kuhusu nchi kiujumla na sekeseke tofauti, nimeskia mambo ya kina January Makamba, lakini sikubase kiundani kutokana na haka kamradi kafupi nikafanyako huku kanavyonilawiti, pesa mwanaharamu sana.
Hivi ni Mbeya tu au?
Maana kila nikienda sehemu ambayo nipo nafanyia project zangu mtaa mmoja huku ambao jamaa yangu ninayefanya nae hizo project yupo huku kunaitwa, mbalizi siku ya tatu leo kila nikija mchana hamna umeme mpaka saa 12 ya jioni.
Muda mwingine nakuwaga ilomba nako mambo ni hivyo hivyo.
Walau sio mbaya nikitoka eneo ambalo nimefikia (Isyesye) nikikwea bajaji mpaka kabwe naona warembo wa kinyakyusa na shepu zao ni balaa, hapo nitakwea, daladala kila mpaka huko mbalizi hapo warembo hawa hunipooza machungu kwa jinsi walivyofungasha sema Mwenyezimungu fundi sana.
MUNGU awape nini huu mkoa kwa ukarimu🙌
Ndaga