Hii Mbeleko Tena Imekuaje Wakuu.

Hii Mbeleko Tena Imekuaje Wakuu.

Mbebwaji hapo ni nani ni yule DAB au Geshi la police mi naona kama ni geshi la police
 
Mkuu kwa kuwa wanatembea kwenye maji Fimbo inatumika kupima kina cha maji kabla hajaweka mguu asije tumbukia Shimoni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee, umeona mbali kweli kiongozi. Hahah.

Naona maji mafupi lakini safari imekuwa ngumu hata kufika bado hawajafika na mtoto baada ya kukunja mguumiguu naona kaiachia kiasi flani.
 
Alafu ndio umepata nini sasa??
Mnaudhi sana watu wa namna hii na ujanja wenu wa mwaka 47
Duuuh kweli watanzania tumefikia pabaya sana. Yaani jambo dogo namna hii ndo limekukera hivyo??? Aisee sisi watanzania wenzenu ambao hatujawahi kulala chumba kimoja na ng'ombe au mbuzi huwa ni watu wenye upendo tu na kutaniana kidogo almuradi siku zinaenda. Ninajua kwa wale wengine jamii ya kina Jiwe the great huwa mna ka usadism hivi. Mie nakuomba usiudhike kwasababu nina uhakika hilo halijakukwarua popote labda kama una tabia kama za Faru ambaye anweza kukasirika hata bila sababu. Kama huna asili ya kihutu au kitutsi sioni sababu yeyote ya kukasirika. Jirekebishe maana tabia hiyo itakufanya uwe na maisha magumu sana. Unakuwa kama NYINYIEMU bwana
 
Alafu ndio umepata nini sasa??
Mnaudhi sana watu wa namna hii na ujanja wenu wa mwaka 47
Hata hivyo leo umenipa msaada mkubwa sana. Siku zote nilikuwa napata shida sana kujaribu kujua inakuwaje mtu kama jiwe anakuwa kiongozi na ana mashabiki kibao, au bashite hivi na wengine wengi kila siku kwenye tv tunawaona wanaongea kama wako vitani hawana lugha za kiungwana. Naanza kupata picha binadamu wa aina yako ndo wanatusababishia shida hizi za akina jiwe na bashite kuwa walipo
 
Back
Top Bottom