Hii Mbeleko Tena Imekuaje Wakuu.

Hii Mbeleko Tena Imekuaje Wakuu.

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,963
(1).jpg
 
Mbeleko Ya Chuma Yaani Madhubuti Sana Haichaniki Ingawa Tunangoja Kuona

Kweli mkuu.

Mbona hata huyo aliyembeba naona anatembelea mkongojo hapo ni kuchoka au...?
 
Kweli mkuu.

Mbona hata huyo aliyembeba naona anatembelea mkongojo hapo ni kuchoka au...?
Mkuu
Safari Tu Ni Ndefu Huo Mkongojo Anautumia Hapo Anavuka Maji Marefu Na Jua Linachomoza Ni Wazi Wametembea Sana
 
Mkuu
Safari Tu Ni Ndefu Huo Mkongojo Anautumia Hapo Anavuka Maji Marefu Na Jua Linachomoza Ni Wazi Wametembea Sana

Ila naona ni maji ya ugoko tu hayo mkuu.

Ila kwa kutembea itakuwa ametembea umbali mrefu inaonesha amechoka ndio mana ana mkongojo wa kumsaidia mwendo ili asianguke mkuu.

Ila mpaka jua linachomoza it means kumeshakucha tayari.
 
Ngoja niitafakari kidogo
kwanza imefungwa shingoni mwa mmebaji kiasi kwamba aliyebebwa akijivuta tu inanyonga.
pili wanapita katika mazingira magumu! Wanavuka mto
Tatu kuna hatari nyuma ya vita.
Mungu ampe maisha marefu Kaka KP
 
Anashindwa kuhema, ni chaguo lake aendelee kumbeba mbeleko iendelee kumkaba zaidi mpaka it's too late au aifumgue.

Ni kweli kabisa uamuzi upo mikononi mwake aidha aiache iendelee kumuumiza kwa kumkaba au aifungue ili apate unafuu na aweze kutembea kwa uzuri kabisa.

Ingekuwa mama angeiacha tu aaingekubali kumshusha mwanae au angeifunga vizuri tu safari ingeendelea, ila kwa baba sijajua kama atamudu hilo.
 
Ngoja niitafakari kidogo
kwanza imefungwa shingoni mwa mmebaji kiasi kwamba aliyebebwa akijivuta tu inanyonga.
pili wanapita katika mazingira magumu! Wanavuka mto
Tatu kuna hatari nyuma ya vita.
Mungu ampe maisha marefu Kaka KP

Sasa kuna vita halafu silaha inawekwa nyuma na aliyekuwa nyuma kalala na pia ni mtoto wala hajui matumizi yake hiyo silaha.

Ni Hatari Sana.
 
Back
Top Bottom