MSAADA : Nashindwa kuingiza umeme tangu jana, Mashine ya kuingizia inazunguka tu..

msafwa93

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
4,761
5,877
Habari..

Mita yangu inaanzia na namna 43 ..

Wadau naombeni msaada wenu ,jana nimeamka asubuhi umeme umezima , nikaweka betri kwenye mashine ya kuingizia inazunguka tu na kuchora namba nanene kisha mwisho inaandika ' AFF -Err'..

Nikapiga simu TANESCO wakaishia kunipa namba ya ripoti ya tatizo hivyo nimelala giza..

Nikajaribu kutafuta mitandaoni na nikufuata maelekezo yote lakini wapi ingawaje solutions zilikuwa za Mita zinazoanzia na 24..
20211218_093122.jpg
20211218_093122.jpg
 
Habari..

Mita yangu inaanzia na namna 43 ..

Wadau naombeni msaada wenu ,jana nimeamka asubuhi umeme umezima , nikaweka betri kwenye mashine ya kuingizia inazunguka tu na kuchora namba nanene kisha mwisho inaandika ' AFF -Err'..

Nikapiga simu TANESCO wakaishia kunipa namba ya ripoti ya tatizo hivyo nimelala giza..

Nikajaribu kutafuta mitandaoni na nikufuata maelekezo yote lakini wapi ingawaje solutions zilikuwa za Mita zinazoanzia na 24..View attachment 2048358View attachment 2048359
Tupo uchumi wa kati,na Chadema walituchelewesha Sana kupata maendeleo.
 
Basi nikasoma 'umeme' kama 'uume'

Anyway, remote yangu kuna siku iliniandikia error fulani umeme ukawa hauingii (nimesahau code) nikagoogle nikakuta Tanesco wameelezea hiyo error na jinsi ya kuitatua.

Nikafuata taratibu ikakaa sawa. Jaribu hivyo au wapigie.

NB: Remote yangu inaanza na 35
 
Habari..

Mita yangu inaanzia na namna 43 ..

Wadau naombeni msaada wenu ,jana nimeamka asubuhi umeme umezima , nikaweka betri kwenye mashine ya kuingizia inazunguka tu na kuchora namba nanene kisha mwisho inaandika ' AFF -Err'..

Nikapiga simu TANESCO wakaishia kunipa namba ya ripoti ya tatizo hivyo nimelala giza..

Nikajaribu kutafuta mitandaoni na nikufuata maelekezo yote lakini wapi ingawaje solutions zilikuwa za Mita zinazoanzia na 24..View attachment 2048358View attachment 2048359
Tafadhali onesha namba ya taarifa,namba ya simu na wilaya husika kwa hatua zaidi
 
Habari..

Mita yangu inaanzia na namna 43 ..

Wadau naombeni msaada wenu ,jana nimeamka asubuhi umeme umezima , nikaweka betri kwenye mashine ya kuingizia inazunguka tu na kuchora namba nanene kisha mwisho inaandika ' AFF -Err'..

Nikapiga simu TANESCO wakaishia kunipa namba ya ripoti ya tatizo hivyo nimelala giza..

Nikajaribu kutafuta mitandaoni na nikufuata maelekezo yote lakini wapi ingawaje solutions zilikuwa za Mita zinazoanzia na 24..View attachment 2048358View attachment 2048359
Unaweza kunyeza 755204 ok
Kisha
028896124 ok kama itaendelea kuleta ujumbe huo tafadhali tuoneshe namba ya taarifa, namba ya simu na wilaya kwa utatuzo zaidi.Hakuna haja ya kuandika barua wala kufanya malipo yeyote
 
Yangu inasumbua kwa kuandika error 77 msaada
 
Habari..

Mita yangu inaanzia na namna 43 ..

Wadau naombeni msaada wenu ,jana nimeamka asubuhi umeme umezima , nikaweka betri kwenye mashine ya kuingizia inazunguka tu na kuchora namba nanene kisha mwisho inaandika ' AFF -Err'..

Nikapiga simu TANESCO wakaishia kunipa namba ya ripoti ya tatizo hivyo nimelala giza..

Nikajaribu kutafuta mitandaoni na nikufuata maelekezo yote lakini wapi ingawaje solutions zilikuwa za Mita zinazoanzia na 24..View attachment 2048358View attachment 2048359
Ukishindwa kuingiza wapigie Tanesco watakupa maelekezo na watakuingizia wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom