Hii Mapambano Tuition Centre mmhh..!

Hii Mapambano Tuition Centre mmhh..!

Hacheni kuaribu Biashara za wenzenu, nguo na ufundishaji n vitu viwili tofauti, kwani wao ndio wanawanunulia nguo?
Mbona mm nimesoma hapo tuition kuanzia form one 1996 wakati ipo shule ya Msingi mapambano, na mpaka inaamia kwa Mzee chilumba, then nyuma ya Nakiete.
Ukienda kwa mawazo yako ya kingono yatakuwa ya kingono tu, na ukienda na mawazo ya kishule utasoma tu.
Bila shaka wewe hata chuo ujafka ungefika usingeandika huu upuuzi maana hayo n mavazi ya kawaida sana vyuoni, tofautisha nguo na shule dogo!
Ukitoka nenda CBE na IFM ukaone vya wakubwa
Hahaha, na kweli mkuu sijasoma mbumbumbu Mimi. Ifm napasikia tu kule f(x) hall, sijui airport,screen saver,Facebook, buloku c&d etc. Heri yako wewe uliyebukua, nafkiri ticha wako wa LW711 alikua Kibacha
 
Nani mkuu wa hiyo senta niombe kazi ya kufundisha hisabu na uchumi au hata komasi na bukipingi.

Naahidi kufundisha bure kabisa maana najua hataweza kunilipa mshahara, mshahara wangu utakua hizo teaching incentives, payment in kind..

Mkuu kama unamjua mkuu wa hiyo senta mwambie mwalimu wa bure yupo anataka kujitolea kufundisha, anaweza kufundisha uraia,uhasibu,hisabati,uchumi na geog kuanzia kidato cha kwanza hadi sita bureeeee.
Hahaha, mkuu haina shida nafkiri Mussa biteba bado ni MD wa pale
 
Huyo Mbuga kama alikuwa mkali basi kazeeka na Taaluma yake, uandaaji wa notes zenyewe ni mbovu sana.
Nenda shule za advance ratio ni 1/200 students anaetumia kitabu cha Mbuga.
Mbuga alikuwa mzuri kwa o level tu advance hakuwa fit.

Nilisoma Tambaza advance nako maticha shallow sana hasa pcm .

Najuuta kusoma ile shule khaa kwa ile kombi bora ningesoma kwa kombi nyingine.

Anyway sio mbaya MUNGU alisaidia hata hivyo.
 
Ada zinasumbua wanatumia fursa waliyo nayo,
.
Weka wazi yup aliye kukonga moyo maana huwa wapo sex kweli!!
 
Unamuulizia na nani? Mimi najua nifanyeje, kama hujui sema KWA HIYO MIMI NIFANYAJE, ukisema sisi unanijumuisha na mimi. Na kama hujui jibu si ukae tu kimya?!


Ni kiherehere chako tu kucheza ngoma usiyoijua! Wenzangu wapo wengi na tunajuana sio lazima niwataje kwa majina, wewe ambae haupo kundini na hujatajwa jina pita uende mbele mtaa wa pili hii haikuhusu!
 
Hahaha, na kweli mkuu sijasoma mbumbumbu Mimi. Ifm napasikia tu kule f(x) hall, sijui airport,screen saver,Facebook, buloku c&d etc. Heri yako wewe uliyebukua, nafkiri ticha wako wa LW711 alikua Kibacha

Mtajie otaigo, koloseni, Tairo, nagunwa, mwachaka, bajuna,
 
Unaonekana bado hauna majukumu na uko analog maana payment zote hufanyika mobile na very easily..... Its either umeamua kuchafua biashara ya watu au umekosa cha kuandika....ungekuwa unawaza mtoto anapataje ada next semester usingeweza ku concentrate na minor issues kama hizo
Toto la mama wewe
 
Back
Top Bottom