Hii Mapambano Tuition Centre mmhh..!

Hii Mapambano Tuition Centre mmhh..!

Unaonekana bado hauna majukumu na uko analog maana payment zote hufanyika mobile na very easily..... Its either umeamua kuchafua biashara ya watu au umekosa cha kuandika....ungekuwa unawaza mtoto anapataje ada next semester usingeweza ku concentrate na minor issues kama hizo
Toto la mama wewe
Asante mkuu naona ndio unanilipa mshahara every end of the month
 
Tulizikosa hiz huduma kona bar na tukizipata hazina vigezo zinasuasua sasa wacha nianguke pale nashukuru wakuu kwa hii info mambo mazur haya.
 
Back
Top Bottom