donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
- Thread starter
- #21
Yes mkuu ilikua ni typing errorHahahaa pole mkuu.
Mbuge = Mbuga. Mkali wa biology enzi hizo.
Yes mkuu ilikua ni typing errorHahahaa pole mkuu.
Mbuge = Mbuga. Mkali wa biology enzi hizo.
Hahahahahahahanakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 2000 wazee wa Tambaza kijiji tulikuwa tunaenda Mchikdown kuingiza utirio halafu pale Mapambano tunaenda kung'oa watoto wakali maristita wale yaani walikuwa walaini tena ukiwaambia mimi niko Tambaza pichu inamaafuriko
Ukoje mkuuMwandiko wako mmmmh
Very true......ma failuresre-seaters na qt hao
Ana maanisha walimu wakiwapa wanafunzio wao mimba wasichukuliwe hatuaKwahiyo sisi tufanyaje mkuu??
Ni upumbavu wa kiwango kilichotukuka.Teh teh hiyo Suruali anakuwa kama vile kajinyea inaitwa Balotel. Halafu hao wanaorudia mitihani na QT wapo kama vile wamelogwa maana upumbavu ule ule uliowafanya wafeli wakiwa full school ndio wanaurudia tena kwa kasi ya ajabu kabisa.
Hidden agenda property!Habari za leo wakuu,
Mida flani hivi ya asubuhi bimkubwa aliniomba nikamlipie king'amuzi cha Star times pale Bamaga, basi nikaenda nikalipia fresh.
Wakati wa kurudi nikasema acha nipige andha kanoon (kutembea kwa miguu) hadi Mwenge. Basi nilipofika pale Nakiete building nikashawishika kukata ile kona niende Mapambano kumpa hai ndugu yangu bw. Mussa Biteba.
Ebwana eeeh, hii sio twisheni tena ni kama sehemu ya kabiashara fulani haramu na kituo cha vijana kuuza sura. Nilipishana na mabinti kadhaa eti ndo wanaingia pindi, dressing code nikajikuta kimoyomoyo nasema 'mayo nene nacha', nguo za kuvaa night clubs tena uwe na guarantee ya usafiri binafsi watoto wa kibongo ndo wametinga wanazama kubukua.
Ikabidi nisimame pembeni ni observe, kidogo ndo balaa likatinga, ebwana huyo sister kavaa kimini dzain hata akiangusha kalamu class hawezi okota kabisa, pembeni yuko na sijui ndio boy wake yule kavaa zile suruali wanapenda kuvaa wakongoman zile katikati linakua kama umejinyea hivi linatepweta.
Nikakumbuka enzi zetu za kwa hidden mchikidown, kwa Mbuge.. Nikasema kweli this is new school, I am way too old school (nikakumbuka msemo wa Danny glover kwenye lethal weapon akimwambia Mel Gibson 'am too old for this shit....').
Hata ungewapiga picha ingesaidia nn mkuu ?Cyber law imenibana mkuu
Huyo Mbuga kama alikuwa mkali basi kazeeka na Taaluma yake, uandaaji wa notes zenyewe ni mbovu sana.Hahahaa pole mkuu.
Mbuge = Mbuga. Mkali wa biology enzi hizo.

Who said nakaa kwa bimkubwa? Mbona hujafikiria perhaps bi mkubwa anakaa kwa mwanae? Kweli we robot la matope mkuuYou're old enough but still unakaaa, kula na kulala kwa bi mkubwaaaa.??.?.?.!.??!?!?!?!
Couldn't agree more mkuu, well saidUlimwengu huu wa leo umajaa vijana mazuzu/mazezeta mengi mno.Hapo ni mfano tu mkuu.Lakini kimsingi mazuzu yapo mahala pengi,na ajabu zaidi mpaka vyuoni wapo.
Yeyote yule anayefanya mambo ya hovyo;yanayodhalilisha utu wake kwa kudai anakwenda na wakati,na anajua fika kabisa kuwa anadhalilika lakini bado akang'ang'ania kulifanya;huyo ni ZUZU bila ya kujali elimu yake.
Hahaha, umenikumbusha mbali mkuu,wazee ea table teaching hao. Ticha Amos na alikuepo jamaa moja kitambi cha bia na nyamachoma anaitwa kassim miaka ya 2011mzee wa theory of firm na topics zote za micro economics advance. sijui kama bado yupogo hiyo mitaa. kiukweli dah mapambano tc ni jipu.![]()
![]()
![]()