Hii make up ni next level!

Hii make up ni next level!

Akifanana na kingwendu wakati katoa ulimi nje hapo itakuwa wazi kuwa kipaji anacho.
 
Mimi mwenyewe naweza jipaka nikafanana na Beyonce Niki minaji na masoud sura mbaya..asitubabaishe[emoji41]
Hapo ndio wabongo tunapokwama..kama una hii talent ioneshee mama..usiiache ipotee..talent inalipa kuliko kitu chochote.
 
Kutana na Richard Jane,mwanadada kutoka Nigeria mwenyewe uwezo wa kujifanyia make up yeye mwenyewe na kufanya afanane na mtu yeyote yule.View attachment 1523225Raisi BuhariView attachment 1523222View attachment 1523223
.
IMG_20200530_104849.jpg
 
Make up ipo k.koo ule mtaa wa vipodozi msimbazi kule

wadada wanapigana make up road hawana habari na mtu

wale ukitaka hata wakufanye wassira wana huo uwezo arif
 
Back
Top Bottom