Hii make up ni next level!

Hii make up ni next level!

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
15,126
Reaction score
35,512
Kutana na Richard Jane,mwanadada kutoka Nigeria mwenyewe uwezo wa kujifanyia make up yeye mwenyewe na kufanya afanane na mtu yeyote yule.
IMG_20200801_000829.jpg
Raisi Buhari
IMG_20200731_234147.jpg
IMG_20200731_234120.jpg
 
Davido
IMG_20200731_234300.jpg
IMG_20200731_234234.jpg
 

Attachments

  • IMG_20200731_234300.jpg
    IMG_20200731_234300.jpg
    36.3 KB · Views: 10
Mimi mwenyewe naweza jipaka nikafanana na Beyonce Niki minaji na masoud sura mbaya..asitubabaishe[emoji41]
Safi,hebu jipake ufanane na Magufuli au Mwijaku tuwekee hapa tufurahie[emoji3]
 
Ukifuta make up ndo unakuwa masoud sura mbaya
😂😂😂 Wewe huyo..!!..Basi jitahidi uwe unajidabika makeup walau uonekane katika uso wa dunia.
 
Hata sura yake halisi tutashindwa kuiamani kama ni yake sasa
 
Back
Top Bottom