Duuuh naona watu kama miti inakwenda. Daudi1 njoo huku utueleweshe
Aliyeelewa anieleweshe
Aliyeelewa anieleweshe
Unaumwa kichaaa?Wadau hii wala c utani, huyu anayejiita DAUDI 1
namuona kama mchawi,
mchepuko wangu hapo town nimemuambia on MONDAY i'll be there.
Akanijibu nimsindikize mahali,,
nikamuuliza wapi? Hakujibu.
Nikasisitiza wapi?,
akanijibu,, kumuona DOCTA wake..
Nikasema huyu daud ni mwanga au nae ni dr.?
Ivi ni kweli ma dr. Ndo wako hvi.
Itakuwa anaweweseka doctor kisarawe kafanya yakeSoma hapa umuone dokta kisarawe, mtoa mada anawasiwasi mke wake kaenda kwa dokta kisarawe
Dokta mimi siumwi huko
Aliyeelewa anieleweshe
unakijua ulichoandika pale juu? huo uchawi wa Daudi1 ni upi?Wadau kuna uzi ka upost Daudi, mida ya saa saba mchana.
Sasa scenerio za ule uzi zimenigusa laiv.
Nina binti hapo town. Nakuja j 3 hapo. Sasa yeye kaniambia j3 anaenda kwa dokta wake.
Nikamuuliza kwanini uende kwa dr. Wako wakat mie naja. Akanijib. Kwani we(mimi) sijui matatizo yake.
Nikamuuliza huyo dr. Ni ME au KE. Akanijibu ni ME.
YUPO K NYAMA SCIENCE.. SASA MIE NKIFIKA NI KUFUMUA MARINDA TU, THEN NATAMBAA.
I see...! Naona hii biashara imepata wateja si mchezoWadau kuna uzi ka upost Daudi, mida ya saa saba mchana.
Sasa scenerio za ule uzi zimenigusa laiv.
Nina binti hapo town. Nakuja j 3 hapo. Sasa yeye kaniambia j3 anaenda kwa dokta wake.
Nikamuuliza kwanini uende kwa dr. Wako wakat mie naja. Akanijib. Kwani we(mimi) sijui matatizo yake.
Nikamuuliza huyo dr. Ni ME au KE. Akanijibu ni ME.
YUPO K NYAMA SCIENCE.. SASA MIE NKIFIKA NI KUFUMUA MARINDA TU, THEN NATAMBAA.
Post ya doctor kisarawe imemchanganyaAliyeelewa anieleweshe
Dokta kisarawe amemchanganyahahaha chenga tupu kujieleza nacho kipaji ati