Hii maana yake nin?! Wadau is this coincidential au majini..??

blogger

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
10,364
12,470
Wadau hii wala c utani, huyu anayejiita DAUDI 1

namuona kama mchawi,
mchepuko wangu hapo town nimemuambia on MONDAY i'll be there.
Akanijibu nimsindikize mahali,,

nikamuuliza wapi? Hakujibu.

Nikasisitiza wapi?,

akanijibu,, kumuona DOCTA wake..

Nikasema huyu daud ni mwanga au nae ni dr.?

Ivi ni kweli ma dr. Ndo wako hvi.
 
Last edited by a moderator:
sasa sijajua kwa huyo dr. Wake anashida gan? Nampigia nw. Nawapa feeback.
 
kuna uzi wa daudi unatembea, kama hujausoma huwezi nielewa.

Nimemuuliza huyu mchepuko wangu anaenda kwa docta kufanya nin! Akanijbu.
Kwani mie sijui matatizo yake.

Nikamuuliza, huyo dr. ni KE au ME. ,akanijibu ni ME.
 
nikakata cm, nkamwawbia nipo kwenye kelele. Ntampigia nikifika.
 
Wadau hii wala c utani, huyu anayejiita DAUDI 1

namuona kama mchawi,
mchepuko wangu hapo town nimemuambia on MONDAY i'll be there.
Akanijibu nimsindikize mahali,,

nikamuuliza wapi? Hakujibu.

Nikasisitiza wapi?,

akanijibu,, kumuona DOCTA wake..

Nikasema huyu daud ni mwanga au nae ni dr.?

Ivi ni kweli ma dr. Ndo wako hvi.
Unaumwa kichaaa?
 
Wadau kuna uzi ka upost Daudi, mida ya saa saba mchana.

Sasa scenerio za ule uzi zimenigusa laiv.

Nina binti hapo town. Nakuja j 3 hapo. Sasa yeye kaniambia j3 anaenda kwa dokta wake.

Nikamuuliza kwanini uende kwa dr. Wako wakat mie naja. Akanijib. Kwani we(mimi) sijui matatizo yake.

Nikamuuliza huyo dr. Ni ME au KE. Akanijibu ni ME.

YUPO K NYAMA SCIENCE.. SASA MIE NKIFIKA NI KUFUMUA MARINDA TU, THEN NATAMBAA.
 
unakijua ulichoandika pale juu? huo uchawi wa Daudi1 ni upi?
 
Wadau kuna uzi ka upost Daudi, mida ya saa saba mchana.

Sasa scenerio za ule uzi zimenigusa laiv.

Nina binti hapo town. Nakuja j 3 hapo. Sasa yeye kaniambia j3 anaenda kwa dokta wake.

Nikamuuliza kwanini uende kwa dr. Wako wakat mie naja. Akanijib. Kwani we(mimi) sijui matatizo yake.

Nikamuuliza huyo dr. Ni ME au KE. Akanijibu ni ME.

YUPO K NYAMA SCIENCE.. SASA MIE NKIFIKA NI KUFUMUA MARINDA TU, THEN NATAMBAA.
I see...! Naona hii biashara imepata wateja si mchezo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom