lazma una matatizo ya akilinimeongea nae nw, huyu mchepuko wangu,, huyo dr. yupo hospital ya AMANA,, njia ya GONGO LA MBOTO..,, jina la huyu Dr. LAAZIA NA HERUFI ...... sitaji 1st letter.
Yaani ulivyosisitiza kwa capital Letter kama nakuona ulivyo busy kwa kuyafumua hakyanani
BTW sredi sijaielewa kabisa zaidi ya UFUMUAJI WA MARINDA
sijui kwanin raia hamjaielewa hii thread!! Mbna nimeandika kwa kisw. Fasaha.
Au mmeamua tu kutotoa ushrikiano.