McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Huyo nimemkubali kwa sana.
Less in peace kanumba!
Hahahaha basi nlidhani kifaransa lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mmmmmh inawezekana ni kifaransa kumbe sisi tumejifanya wajuaji tu
Anamdhalilisha bosi wake ambaye ni mmiliki wa hiyo bajaji.
Bosi ndiyo aliyeandika hapo.
Hahahaha basi nlidhani kifaransa lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums