kubwa jinga jr
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 292
- 309
Kwanza naomba msamaha kwa watanzania wenzangu kwa kupoteza kura yangu kwa kumpigia huyu bwana,
Niliweka matarijio makubwa kwake lakini imekuwa kinyume chake,amekuwa mbabe,jeuri,na kudhalilisha wananchi na kufumbia maovu yafanywayo na wateule wake kinyume cha utawala bora
kwa hiyo ndugu zangu naomba mniunge mkono tuungane kuuondoa utawala huu wa kidhalimu,kifedhuli,ukabila na kubebana kiudugu
Utawala usiofuata sheria wala kuheshimu raia wake.
Naomba iwe kwa heri au shari tuungane