Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,837
Wadau mimi kama walivyo wengi nilipata sms kutoka bank juu ya kodi mpya ya 18% kwa kila muamala.
Nasikia pia ni vivyo hivo kwa miamala ya kwenye mitandao ya sim.
Naomba kujua nitakatwa kiasi gani pale ninapotumia simu yangu ku-deposit au ku-withdraw hela bank?
Maana najitahidi kuichungulia hii plate number ila siielewielewi!!!