Destruction
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 284
- 508
Mbona unanishobokea ?,,, Nimekuquote wapi ? ChokoFunga kopo lako wewe dogo utachoreshwa 7, shauri yako!!
Mbona unanishobokea ?,,, Nimekuquote wapi ? ChokoFunga kopo lako wewe dogo utachoreshwa 7, shauri yako!!
VXR ni top model ya LC200 series. Unadhani ni sahihi kulinganisha na entry model ya GLS?
Kwenye Calculator ya TRA;
VXR wamewekea CIF ya $72,000 na GLS wameiwekea CIF ya $112,000.
Kodi ya VXR $47,000 na kodi ya GLS ni $73,000.
Kwa mujibu wa tovuti ya toyota.co.za wanaiuza VXR R1,606,600 sawa na $114,034.
Kwa mujibu wa mbusa.com wanauza;
GLS 450 = $77,000.
GLS 580 = $99,000.
GLS AMG 63 = $133,000.
GLS Maybach $160,000.
Na kusema Prado TX ni expensive kuliko GLS unapotosha pakubwa sana. Prado VX.L ambayo ni top model ya Prado Lineup inauzwa $119,000 sawa na Tsh. 279M tena hiyo ni pamoja na kodi.
Na kama unataka kulinganisha top model ya LC200 series na uhakikishe unalinganisha na top model ya GLS na sio uchukue VXR (top model) na GLS 450 (ambayo ni entry model). Sio sahihi.
Samahani mkuu, mimi pia jina langu lina namba za kirumi ila sina tabia kama za jamaaWhat a pathetic mindset.
Ila hutu tujitu twenye majina ya English halafu wakaongeza namba za Ki Roman kama Yako basi wanajikutaga wajukuu wa Queen Elizabeth 🙄🙄🙄🙄.
Mkuu kwa mujibu wa records zako ,za Toyota prado Tx ni dola 80000, tax paid , gls ikiwa ulaya tax paid 77000 , na argument yangu ilikuwa gls ni cheap kuliko prado Tx, tunabishana nini?Hiyo thamani ya Prado Tx unauoisema hapo ni pamoja na kodi ujue? Bila kodi Prado Tx inaenda kwa arround $69300.
Hiyo hapo chini ni price list ya Prado toka Toyota Tz. Hizo bei ni pamoja na kodi. Unaenda kuchukua tu.View attachment 1782493
Hivi wewe una uhakika hajapata ridhaa ya mmiliki?Hivi mlipita pita shule kweli hata kidogo? Au umande.?
Kama umepost kwa kusifia bila ridhaa ya mmiliki kwanini usiHide hizo namba?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hahaha, eti lishe duni wakiwa wadogo. Daah we jamaa ungekuwa umekulia Bongoland weweTatizo ni Nyumbaro plus lishe duni mkiwa wadogo ndio maana upeo wa kufirki, kuelewa na kung'amua mambo hamna.
Nimesema "in a matter of time". Sasa ambacho hamuelewi nini? Kumbe ndio mana wanaharakati wanapigania watoto wawe wanapata lishe kamili mashuleni.madhara yake ndio haya sasa ukubwani.
Gabbage!
If you MFs ever doubt me....well, believe me this now......kua I'm outta your league!
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Nimekupa source ya pili. Hujaziona?Majadiliano mazuri ila naona tunatumia source zenye informations tofauti.
Kikokooo cha kodi cha Tra kimekuwa kikilalamikiwa kila mara kwamba hakipo fair kwa baadhi ya items, na mfano mzuri umeuoneshs hapa
Gls huko ulaya ikiwa imelipiwa kodi zote ina thamani ya 77000usd , ila kikokotoo chetu kina sema cif value tu ya Gls ni 112000 usd , hivi tukiendelea na majadiliano katika hali kama hii si tutakuwa tunapotosha watu? Na bahati mbaya kikokotoo chetu hakisemi ni model ipi ya gls , kama ulivyainisha hapo juu.
Nimekupa source ya pili. Hujaziona?
Kwahiyo website za mbusa.com na toyota.co.tz nao wanauza magari yaliolipiwa kodi tayari?
Cha kwanza; Quote ya Toyota VXR itakuja baada ya LC300 kuzinduliwa.Mkuu kwa mujibu wa records zako ,za Toyota prado Tx ni dola 80000, tax paid , gls ikiwa ulaya tax paid 77000 , na argument yangu ilikuwa gls ni cheap kuliko prado Tx, tunabishana nini?
Hiyo Gls ukitoa kodi ukajumlisha shipping , Cif value yake itapungua , ukija jumlisha na kodi zetu kama kikokotoo kingekuwa fair gls ilitakiwa iwe chini ya Prado Tx. Kwa thamani
Ikikupendeza mkuu naomba uweke hapa bei za Toyota VX r kutoka Toyota Tanzania tumalize mjadala.
Ukienda kwa dealership unaletewa gari toka kiwandani kodi inakuja kulipwa huku unapochukulia. Ukitaka MSRP bila options unapewa bei zinazowekwa kwenye website yao unless upewe favor ya discount.Nimekuomba bei za Toyota VXR kutoka toyota Tanzania.
Toyota Tanzania pia ni bonded warehouse kwa hiyo wanawajibika kuuza magari yaliyolipiwa kodi.
uko serious kweli bro?? 20 ?? hiyo ni hela ya service kwa pale toyota,Mfuko wako tu mkuu. Zisipingue mil.20.
Hyo gar niliikuta yard moja nyuma ya shopers mikocheni inauzwa mil100..sikuamin..tulibishana na jamaa had nkaondoka...hao jamaa wanauza ma ford.hilux etc20 hata 25 hupati??? Kidogo sana mkuu
Cha kwanza; Quote ya Toyota VXR itakuja baada ya LC300 kuzinduliwa.
Kwa sasa hawauzi tena. Labda utake special order na watakutafutia kwa dealership nyingine za Toyota kama itakuwepo ila hawatoi tena magari kiwandani.
Mbona unalazimisha GLS inauzwa $77,000 pamoja na kodi wakati nimekupa source hapo? Hiyo ni bei ya GLS 450 ambayo entry model ya series za GLS tena bila kodi na bila options. Hakuna benz cheap hivyo duniani.
Nakupa na link kabisa; GLS Large Luxury SUV
Na wewe nioneshe wapi kunauzwa hiyo gls kwa $77,000. Uthibitishe hiyo bei. Tena baada ya kodi.
Used GLS ya 2017 inauzwa $50,000 na ya 2019 inauzwa $61,000 hapo UK.
Niliikuta yard nyuma ya shopers pale mikocheni..inauzwa 100m..sikuamin..nilibishana na jamaa had nkasema bas labda kwel...Hio kluger ya 2016 unamwambia zisipungue mil.20? Hapo kaipata kwa nafuu ni 80M.
Ndio bei yake hio wala hata haina upambeNiliikuta yard nyuma ya shopers pale mikocheni..inauzwa 100m..sikuamin..nilibishana na jamaa had nkasema bas labda kwel...
Ukiiangalia wala haitishi snaa.ila pana flan kama v8..ila sio kubwa kama v8....halaf sasa ma v8 nimekuta yanauzwa 110m...Ndio bei yake hio wala hata haina upambe
Eeh unachagua tu bega mzee baba! Gari zote sini SUV mzeeUkiiangalia wala haitishi snaa.ila pana flan kama v8..ila sio kubwa kama v8....halaf sasa ma v8 nimekuta yanauzwa 110m...
Ukienda kwa dealership unaletewa gari toka kiwandani kodi inakuja kulipwa huku unapochukulia. Ukitaka MSRP bila options unapewa bei zinazowekwa kwenye website yao unless upewe favor ya discount.
Mwaka 2017 kuna GLE 350d imenunuliwa kwa 280M sawa na kama $135,000 tena brand new, tena hii ni entry model ya GLE series. Na ni version ya chini ya GLS.
BTW, Wewe ndo ulisema VXR ni bei kuliko GLS. Ulitakiwa ulete source ya bei yake. Nimefanya homework nikakuta bei huko toyota south africa. Na inauzwa $114,000 kodi yake tra ni $47,000. Jumla $161,000. GLS pamoja na kodi ni $186,000.
I think to compare gari ya 2020 na gari ya 2021 si sahihi kabisa-Unless tulinganishe GLS ya 2021 na Landcruiser ya 2021(kama ipo) ita make senseNilifuata comment uliosema watu wanakariri German Models ni expensive wakati sio.
Nimekuonesha mifano tu ya German models zilizo expensive kuliko hizo Toyota VXR. And last time i checked, top model ya Toyota Landcruiser ambayo ni VXR inauzwa $120,000. Ukiweka options na makodi ndo inakuja hiyo $180,000 sawa na 400M kama ya yule mkurugenzi wa Geita.