Hicho ni kiberiti kama sikosei aisee!Nini hiyo tena
Wala hujakosea. Hiko ni kibiriti haswaa. Kinatumia mafuta ya taa, utambi na aina ya "jiwe" fulani ambalo likisuguliwa hutoa cheche za moto ambazo huwasha utambi.Hicho ni kiberiti kama sikosei aisee!
[emoji2] [emoji2] [emoji2]kama uliiona au kuitumia tambua nawe ni mmoja wa wahenga.
Dah.... Tuliowasha moto kwa kupekecha vijiti sijui mtatuitaje... Mizimu? [emoji13] [emoji13] [emoji13]kama uliiona au kuitumia tambua nawe ni mmoja wa wahenga.
Tulikuwa tunapakia pamba humo ndaniWala hujakosea. Hiko ni kibiriti haswaa. Kinatumia mafuta ya taa, utambi na aina ya "jiwe" fulani ambalo likisuguliwa hutoa cheche za moto ambazo huwasha utambi.
haahha mizimu ya kaleDah.... Tuliowasha moto kwa kupekecha vijiti sijui mtatuitaje... Mizimu? [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kum........ Nimefurahi sana kuiona hii kitu enzi zile unalowesha na kerosene na kuanza kuitumia,wakoloni walikuwa na vitu economy sana