Hii kitu natural no ingredients, full ladha kamili

Hii kitu natural no ingredients, full ladha kamili

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
11,897
Reaction score
6,933
431703_363879610365291_1114349653_n.jpg


Ya kuchemshwa na hii kitu natural wapi na wapi? Nothing added!
Pita pita yangu wiki iliyopita nilikutana na kitu adimu baada ya mmoja kunitoa ushamba kwamba hapa ndio kitu natural badala ya ile ya kuchemsha kwa sana na kuchanganya na madudu yasiyokifani na hivyo kutopata kitu kamili. Hapa mpo? Nilikuwa na haraka, nadhani hapa sijapotea njia nitafundwa mengi zaidi.
 
Back
Top Bottom