Navy seal soldier
Senior Member
- Oct 6, 2019
- 151
- 278
Dada kuwa penda ndug wa mmeo ni ishara ya kuwa mke Bora na mwema. Hizo ni element za roho ya korosho , and what if ndug zako wakij kuishi apo nyumbani utasema nn mmeo akilalamika ni sawa ?Kitabu Cha
Waefeso 5:31 BHN
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.”
Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko .
Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto.
Ila hata honeymoon haijaisha mtu ashatinga Kwa kaka yake kaja kufanyaje ??
Au kusaidia kushika mguu hakunaga haya mnachotafuta Nini na shukurani hazishi kila kitu ukimpa yupo Asante shemeji sijaolewa na ukoo nimeolewa na mwanaume mmoja wapuuzi kabisa .
Kwenu Hili mnalionaje wazoefu wakuletewa vioja nyumbani
Na akija dadaako au ndugu yako, mumeo naye anakuwa ameoa ukoo?? Au wanakuja kukusaidia kurengesha..!!?Kitabu Cha
Waefeso 5:31 BHN
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.”
Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko .
Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto.
Ila hata honeymoon haijaisha mtu ashatinga Kwa kaka yake kaja kufanyaje ??
Au kusaidia kushika mguu hakunaga haya mnachotafuta Nini na shukurani hazishi kila kitu ukimpa yupo Asante shemeji sijaolewa na ukoo nimeolewa na mwanaume mmoja wapuuzi kabisa .
Kwenu Hili mnalionaje wazoefu wakuletewa vioja nyumbani.
😂😂😂Wewe inaonyesha ni mchanga. Uchoyo mwingi Sana na ubinafsi. Isitoshe point yako haina msingi
Kuwa mwili mmoja na Mtu ni kushiriki nae tendo la ndoa. Sasa hao Ndugu wa Mume wamekuomba ulale nao?
Imeufunga uziWanawake wengi wanaasili ya uchoyo, ndugu wamwanaume wakija nongwa., Ndugu zake wakija full kicheko.
We jibu mada bwana😂😂😂😂Umeolewa lini kwanza
Ndiyo, umeolewa na ukoo. Hebu soma Mwanzo 38:8-11sijaolewa na ukoo nimeolewa na mwanaume mmoja wapuuzi kabisa .
Mxiuuu mie hapana kwakweliNdiyo, umeolewa na ukoo. Hebu soma Mwanzo 38:8-11
Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao. Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao. Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa BWANA, basi akamwua yeye naye. Yuda akamwambia Tamari mkwewe, Ukae mjane nyumbani mwa baba yako hata Shela mwanangu atakapokuwa mtu mzima , maana alisema, Asipate kufa yeye kama nduguze. Basi Tamari akaenda, akakaa nyumbani mwa babaye.
Mwa 38:8-11 SUV
Usiwachukie wala usiwafukuze ndugu wa mumeo, hao ni waume zako pia
Kiberenge kama kiberenge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa Kosa likowapi ulimuuliza mumeo nduguyake anashida gani huenda ni mgonjwa sikunying kamleta Ili ampelek hospitali solve lkn Kwa hekima
Sasa kipenz ndoa fungate haijaisha ushaanza kuleta malalamiko jf[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Baada ya mwaka mmoja wa ndoa tutamkuta clouds tv anaotoa ushuhuda 😂😂Ngoja aje atupopoe ila hanunagi huyu😂Kiberenge kama kiberenge[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kitabu Cha