Hii kitu kama haelewi, nitamueleza.

Hii kitu kama haelewi, nitamueleza.

Naunga mkono hoja
Kaka weekend 😃 NDEEEFUUU Sanaa Ina endeleaa.

Unajua Jana nilikua sehemu nakunywa jamaa mmoja akaomba offer nikampa AKAJA mwingine maneno mengiiii

Mpaka akawa ananiboa ulevi wa namna hiyo ni hatare Sana Sana Sana SEMA next time IKITOKEA mtu KUANZA kuongea Sana Sanaa wanaboa ndio maana ntaacha kwenda cheap place
 
Hahahha mimi mara chache sana naenda bar , mara nyingi nakula vitu vyangu nyumbani tu mkuu
 
Back
Top Bottom