Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 10,152
- 18,099
Yep yep hiyo hiyoAha ile story kwenye threads ingn
Yep yep hiyo hiyoAha ile story kwenye threads ingn
Kaka usiache na mimi kuwa unanitag maana kuna kadada nimekafuata PM eti kananiuliza mbona unajuana na watu ambao inaonekana ni mashuhuri JF basi nikavimba nikaanza kumpanga kwa vyeo ila ni wewe nimekaambia ni waziri hapa bongo hivyo kunitaja kunanileta karibu na wachuchu .Kwa kuongezea kwenye mifupa ili upone hatakiwi kuvuta SIGARA NA POMBE UTACHELEWA SANA KUPONA KABISA KABISAA.
Cc.
min -me
Monetary doctor
secretarybird
Intelligent businessman
Mwachiluwi
Kisukuma unaniletea hapaULIMHOLAA 😁😁🤓
😂 huyo mwamba ni mzabzabKuna mwamba alivunjika mguu hakupona 2 years, kumbe mjinga alikuwa anaisimamia na mguu mmoja.
Sawa bro ntafanya ivyo Mara kwa Mara.Kaka usiache na mimi kuwa unanitag maana kuna kadada nimekafuata PM eti kananiuliza mbona unajuana na watu ambao inaonekana ni mashuhuri JF basi nikavimba nikaanza kumpanga kwa vyeo ila ni wewe nimekaambia ni waziri hapa bongo hivyo kunitaja kunanileta karibu na wachuchu .
Mrembo ukipita hapa jua nilikupanga ,ila nimeamua kusema hili kwakuwa ulinikataa panya wewe