Hii kitu itaniuma roho kwa miaka mingi sana

SectionTwenty

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
675
Reaction score
614
Sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais litaniuma moyo kwa miaka mingi sana.
 
Kula malimao upunguze maumivu
 
We bado hujapata kauli ya kujifariji tu..!zipo nyingi tu wenzako wanaitumia kwa sasa I.e "Raisi Wenu lkn sera za kwetu",nguvu ya soda etc.halafu baadae utasahau na kukubaliana na uhalisia!
 
Sisi tunachotaka ni Kazi tu na Kazi inafanyika Mungu atupe nini tena jameni..Jembe Mafufuli anapiga kazi mpaka wanamtamani hapo Kenya
 
sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais litaniuma moyo kwa miaka mingi sana.

pole ndugu
 
Sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais litaniuma moyo kwa miaka mingi sana.

yeye ndo Anamfanya magufuli Akimbie saaanat
 
Saga chupa za coca Cola zen changanya na soda baada ya hapo chukua panadol tembe 5 meza kwa kutumia mchanganyiko wa Soda na vipande vya chupa utasahau matukio yaliyopita yote.
 
Sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais litaniuma moyo kwa miaka mingi sana.

Kilichobaki ni kwenda kulala na fisadi Lowasa tu ili moyo wako usizidi kuumia natumaini baada ya hapo utapoa tu, ila kuwa mwangalifu na mama Lowasa asije akakupiga na kitu chenye ncha kali!
 
sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais litaniuma moyo kwa miaka mingi sana.
tupo wengi kamanda, tunayoyaona sasa ingekuwa ni zaidi kama mara tano hivi.tulipoteza jembe.
 
Back
Top Bottom