Hii kitu itaniuma roho kwa miaka mingi sana

Hii kitu itaniuma roho kwa miaka mingi sana

Pole sana ndugu, umenikumbusha yule jamaa wa kwenye mgodi alipopata faham na kuuliza km Lowsa alishakuwa raisi! nasikia aliumia sana alipokuta ni kinyume
 
Sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais litaniuma moyo kwa miaka mingi sana.

Huo ni utaaahira. Urais akose mwingine wewe uumie maisha yako yote??
 
Saga chupa za coca Cola zen changanya na soda baada ya hapo chukua panadol tembe 5 meza kwa kutumia mchanganyiko wa Soda na vipande vya chupa utasahau matukio yaliyopita yote.

Huntakii mema wallah
 
Kama ulimpigia kula wenzio waliojaza mikutano ya UKAWA mkaamini mtashinda walimpigia Magufuli, hivyo hizo imani zako zilikuwa fake.

Kamsaidie Mzee Lowasa kufagia mazizi ya ng'ombe Monduli.

Eti unauchungu, au na wewe una majipu yatumbuliwe???

Kiuhalisia lowasa alishinda ila ameibiwa... Hiko ndo kinachoniuma zaidi
 
Kura ni siri.
Ukimpigia wewe, unajua wewe tu. Huna hakika wengine wamepigaje.

Ukijua hili tu hutoumia kindezi
 

Kilichobaki ni kwenda kulala na fisadi Lowasa tu ili moyo wako usizidi kuumia natumaini baada ya hapo utapoa tu, ila kuwa mwangalifu na mama Lowasa asije akakupiga na kitu chenye ncha kali!

Viroba vimeshuka bei nini?
 
Kiuhalisia lowasa alishinda ila ameibiwa... Hiko ndo kinachoniuma zaidi

Nani kakwambia? What's yo witnessed evidence? Acha kupoteza muda Fanya kazi. Ukubwa wa pua si wingi wa kamasi na ivumayo haidumu
 
Kura ni siri ya mtu,utakapokuja kuelewa hili hautokuja umia uchaguzi ujao

Lakini dalili ya mvua ni mawingu... Usinambie kwa nyomi lile na m4c yote eti watu walimsaliti kwenye kumpigia kura... Big NO!
 
Khaa!! Kwani mwenzetu wewe ulimpigia kura ngapi ? Kuna wenzako walikwisha nunua suti zao, na za wake zao na watoto wao ili wavae wakati wakiapishwa uwaziri wamekubali matokeo sasa watazivaa K'mas :crazy:

Duuuuuuh
 
sio wewe tu ndugu yangu tuko wengi sema baaasi tuu.ya Mungu mengi naombea kila siku jpm ajiuzulu tuchague upya
 
Back
Top Bottom