Hii kitu itaniuma roho kwa miaka mingi sana

Kama ulimpigia kula wenzio waliojaza mikutano ya UKAWA mkaamini mtashinda walimpigia Magufuli, hivyo hizo imani zako zilikuwa fake.

Kamsaidie Mzee Lowasa kufagia mazizi ya ng'ombe Monduli.

Eti unauchungu, au na wewe una majipu yatumbuliwe???
 
Sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais litaniuma moyo kwa miaka mingi sana.

''Walivyomdhulumu........!!!!!????''

Acheni kuleta vitu vya kusadikika.
 
Sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais litaniuma moyo kwa miaka mingi sana.
Hahahahaha sasa Lowasa angeweza kasi hii si nayeye angeanza kugawa vyeo kwa wanamtandao
 
Ulivyotaja Lowassa na Urais ghafla nimesikia
sauti ya Lubuva akitamka Hashim Rungwe Spunda Kura 56 sawa na asilimia sifuri nukta sifuri sifuri moja.
nimecheka hasa na kuikumbuka siku ya leo
kweli Ikulu si mahali pa kupeleka wagonjwa eti atolewe juani jioni arejeshe ndani Ikulu

mkali wao
subirini 2025 mtaifanya kazi hiyo ya kuanika na kuanua
 
Sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais litaniuma moyo kwa miaka mingi sana.

POLE ,
Ndo Maisha. au alikuahidi uwaziri mkuu? wewe kama wewe ungenufaika vipi?
 
LOWASA KUKUPENDA SIACHI HATA WASEME NINI kila kona wimbo wenu ukawa ACHA MAISHA YAENDELEE JAPO KWA MBINDE KODI JUU
 
Sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais litaniuma moyo kwa miaka mingi sana.
Khaa!! Kwani mwenzetu wewe ulimpigia kura ngapi ? Kuna wenzako walikwisha nunua suti zao, na za wake zao na watoto wao ili wavae wakati wakiapishwa uwaziri wamekubali matokeo sasa watazivaa K'mas :crazy:
 
Kilichobaki ni kwenda kulala na fisadi Lowasa tu ili moyo wako usizidi kuumia natumaini baada ya hapo utapoa tu, ila kuwa mwangalifu na mama Lowasa asije akakupiga na kitu chenye ncha kali!

Wewe mbwa bado Lumumba wanakulipa?
 
Kama ulimpigia kula wenzio waliojaza mikutano ya UKAWA mkaamini mtashinda walimpigia Magufuli, hivyo hizo imani zako zilikuwa fake.

Kamsaidie Mzee Lowasa kufagia mazizi ya ng'ombe Monduli.

Eti unauchungu, au na wewe una majipu yatumbuliwe???

🐗🐗 wee, 👌👌

Hukujua vote rigging happened, and that was the fact...!!! Just to awaken wee n.guruwe pori, without Lowassa, Upinzani imara, HAKUNA MAENDELEO... na Lowassa alishinda... na tuna uchungu mkuu, na though Magufuli ameanza vizuri kinyume na Ilani ya CCM sbb anafanya yale wapinzani walikuwa wanapigia kelele, but MAGUFULI TO OVERCOME THE SYSTEM ya CCM akiwa pekee ni ngumu kwa kweli, ndio maana anasema TUMUOMBEA MUNGU... na ni kwambie wee ngu.ruwe pori, UPINZANI IMARA ndio huifanya serikali yoyote iliyoko madarani KUFANYA KAZI KWELI KWELI ili ipate kubakia madarakani..in doing so MAENDELEO YA KUONEKANA HUTOKEA... that is our AIM 👉 Maendeleo.... umeelewa wee 🐗🐗

👌👌 🐗🐗 wee... 🚶🚶🚶
 
Kilichobaki ni kwenda kulala na fisadi Lowasa tu ili moyo wako usizidi kuumia natumaini baada ya hapo utapoa tu, ila kuwa mwangalifu na mama Lowasa asije akakupiga na kitu chenye ncha kali!
Kuna Balaa ama unalitafuta au linakutafuta. Stay tuned.
 
Sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais litaniuma moyo kwa miaka mingi sana.
kama unataka kusahau uwe unaangalia sana tbc1 ikishindikana kula malimao kwa wingi
 
Sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais litaniuma moyo kwa miaka mingi sana.

Alidhulumiwa nini na nani? Unakaa unafikiria bila kuona mbele, hivi watu wangepiga kura kwa wabunge wa ccm halaf wamchague rais lowassa? kweli hizi logoc rahis zinakushinda kujua ubaki kusema amedhulumiwa? this is just an amazing little thinking capacity....
 
Mkuu katika maisha sio lazima upate kila unachokihitaji. Hayo yamepita sasa tugange yajayo tu
 
Weka ushaidi utaeleweka

Bila hivyo ni kwa sababu hauchumi pesa za bure za serikali
 
Mimi namshukuru Mungu kwa kuniweka hai hadi sasa hivi sijui imewezekanaje nilishakata tamaa na maisha kabisa kipenzi na rais wa mioyo ya watanzania alivyodhulumiwa. Nipo Nipo tu
ni kwako alikua kipenzi na watanzani wachache , wengine tulikua upande mwingine wa vyama hivyo usitujumuishe ndio maana hutasahau kwa sababu unaikubalisha akili yako kuwa wote tulimpenda.

ndio democracy ilivyo. Atagombea tena 2020 bado una nafasi nyingine ya kumchagua
 
🐗🐗 wee, 👌👌

Hukujua vote rigging happened, and that was the fact...!!! Just to awaken wee n.guruwe pori, without Lowassa, Upinzani imara, HAKUNA MAENDELEO... na Lowassa alishinda... na tuna uchungu mkuu, na though Magufuli ameanza vizuri kinyume na Ilani ya CCM sbb anafanya yale wapinzani walikuwa wanapigia kelele, but MAGUFULI TO OVERCOME THE SYSTEM ya CCM akiwa pekee ni ngumu kwa kweli, ndio maana anasema TUMUOMBEA MUNGU... na ni kwambie wee ngu.ruwe pori, UPINZANI IMARA ndio huifanya serikali yoyote iliyoko madarani KUFANYA KAZI KWELI KWELI ili ipate kubakia madarakani..in doing so MAENDELEO YA KUONEKANA HUTOKEA... that is our AIM 👉 Maendeleo.... umeelewa wee 🐗🐗

👌👌 🐗🐗 wee... 🚶🚶🚶

Kweli nyani haoni kundule....
Ulichoandika hapa hujioni we ndio ngurue pori....pumbafff wahed..
 
Back
Top Bottom