Power to the People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 1,198
- 900
Kuwapa rushwa tunataka wenyewe...
Hakikisha gari lako halina kasoro yeyote...
Na ukiendesha fuata sheria za barabarani, hakuna trafic atakayekugusa...
Hicho kitrafiki chenye matege juzi kati nusuru nikizibuwe maeneo ya osterbay,kina mdomo mchafu sana
Hajakwambia "shemeji unaniachaje" kama walimu walivyo mwambia JK? Wanakera sana ndio maana jamaa mmoja huko Arusha kaamua kuwapelekea gari zima zima na kuwaonesha cha mtema kuni.Aisee hapo King'ori huyo dada ni balaa nishasimamishwa mara mbili hapo. huna kosa anakwambia unaniachaje?
We gonga wote wakiwa kwenye kikundi kama alivyofanya yule jamaa wa Arusha. Kawararua wote pamoja na gari lao. Wanakera sana!Mimi nilishaapa lazima nitagonga mmoja tu!
We gonga wote wakiwa kwenye kikundi kama alivyofanya yule jamaa wa Arusha. Kawararua wote pamoja na gari lao. Wanakera sana!
Aisee hapo King'ori huyo dada ni balaa nishasimamishwa mara mbili hapo. huna kosa anakwambia unaniachaje?
wapuuzi sana, mmoja pale kia alipokuta sina kosa akaniomba maji ya kunywa, nikamjibu kwa kifupi tu sina akasema safari njema
matatizo ya kuendesha IST,Noah,Passo,Raum,Spacio,Carina TI,Nissan March ndio hayo,Vumilieni tuu jombaaaa!!
matatizo ya kuendesha IST,Noah,Passo,Raum,Spacio,Carina TI,Nissan March ndio hayo,Vumilieni tuu jombaaaa!!
heri yako unaendesha meli maana baharini hakuna trafik
Heri yako unaendesha meli maana baharini hakuna trafik