hii kaz ya uandish ndo maana cipendi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hii kaz ya uandish ndo maana cipendi...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Rog3rz, Aug 4, 2012.

 1. Rog3rz

  Rog3rz Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkulima amejiwa na mwaandishi wa
  magazeti kumuhoji ... kuhusu maisha ya
  shambani,na mkulima huyu hawapendi
  waandishi wa habari akaona bora
  amchoshe katika kujibu maswali,
  na mambo yakawa hivi; MWANDISHI: Wewe unawalisha ng'ombe
  chakula gani?,
  MKULIMA: Ng'ombe yupi Mweupe au
  Mwekundu?
  MWANDISHI: Ng'ombe mweupe
  MKULIMA: Ninamlisha nyasi na viguta vya mahindi,
  MWANDISHI: Na mwekundu??
  MKULIMA: vilevile nyasi na viguta vya
  mahindi,
  MWANDISHI: ahaa sawa,na sehemu ya
  kulala ni wapi? MKULIMA: Ng'ombe yupi mweupe au
  mwekundu?
  MWANDISHI: Mweupeee!!!
  MKULIMA: Mweupe ninamlaza bomani
  kulee,
  MWANDISHI: na mwekundu? MKULIMA: vilevile ninamlaza na
  mwenziwe!!!!
  MWANDISHI: Hii sehemu yote
  majumbamengi,Na wakienda
  kulisha unafanyaje?
  MKULIMA: Yupi mweupe au mwekundu? MWANDISHI: Woooteeee!!!! {kwa hasira}
  MKULIMA: Mweupe nina mfunga kambana
  kumzungusha
  malishoni na kumrudisha,
  MWANDISHI: na mwekundu vilevile?
  MKULIMA: Mwekundu?,mweku ndu ninamfunga kamba na
  kuzunguka nae kama mwenziwe!!!
  MWANDISHI: Kwanini kila mara nikikuuliza
  huduma
  za ng'ombe zako unaniuliza mweupe au
  mwekundu halafu inatokea kuwa kazi zao wote ni
  sawa?????,
  MKULIMA: Kwasababu Ng'ombe mweupe
  ni wangu,
  MWANDISHI: Na mwekundu?
  MKULIMA: Ni wangu vilevile!!!!!! MWANDISHI HOI..!!
   
 2. G

  Getsemane Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah! Nimeipenda hii vilevile...
   
 3. D

  Dopas JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nami vilevile..
   
 4. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  pia na mm vile vle..
   
 5. BIF

  BIF Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mi vile vile....
   
 6. YNNAH

  YNNAH JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,663
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  mi pia vilevile
   
 7. Rog3rz

  Rog3rz Member

  #7
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nitakupa nyngne vilevile...cku nyngne...
   
 8. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  yani mulemule.
   
 9. Rog3rz

  Rog3rz Member

  #9
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kutoka kwa m2 yuleyule na eneo lilelile...
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,555
  Likes Received: 18,245
  Trophy Points: 280
  nimeipenda hii na ndio maana kuna wengine wetu tunaipenda kazi ya uandishi.
   
 11. Rog3rz

  Rog3rz Member

  #11
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unapata raha kutoka kwa m2 wa palepale...
   
 12. Rog3rz

  Rog3rz Member

  #12
  Aug 5, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mnaaipenda ili msumbuliwe ama,,,,,,,,,,
   
 13. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Very interesting
   
 14. S

  SHERRIE Member

  #14
  Aug 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Saafiiiii...
   
 15. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  karee vile vile.......
   
 16. Dr.kapama

  Dr.kapama Senior Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mie imeniacha hoi vile vile...
   
 17. Chakuchambuka

  Chakuchambuka JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  A kwikwikwikwikwiiiiii..i nimeipenda hyo....
   
 18. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nami vile vile...
   
 19. m

  mchaga halisi Member

  #19
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Like it
   
 20. m

  mkali mimi Member

  #20
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  yan wote mnacoment vilevile
   
Loading...