Hii kasi ya Nyalandu imetokea wapi?

Hii kasi ya Nyalandu imetokea wapi?

kupata vyeo ccm ni kazi rahisi sana . We si umeona geresha ya migiro kushikashika jembe kiuongouongo kule kusini kumempa ubunge ! Wakati kuna wakulima wa ukweli kule MBARALI lakini hawajapewa chochote !
 
Kifupi nakerwa na namna wa bongo wanavyoyachukulia mambo. Sijui lipi bora afanye Mh Nyarando. Ndio maana hawa viongozi hawajali wala kuogopa lolote kwakua wanajua aina ya fikra za Wabongo wachache wapenda kuchalenge vitu bila kuta fakari ili kujiona wamesema tuu na akili zimekalia kila kiongozi hafai hafai. Ukimpekua mtu kidogo yeye mwenyewe hata kusimamia familia yake hawezi. Wanadamu wote siwakamilifu na waadilifu ndani ya makundi ya waovu wapoo. Kila mtu asijifanye ni minzani ya mwenzake bila kujipima na yeye kwanza. Ni kweli Chama Cha Mapinduzi kina aina ya mapungufu yake lkn sidhani kama ndio dhamira ya Sera zake. Kutawla si jambo jepesi kiasi cha kila mtu kudhani anaweza ila kukosoana kwa misingi ni jambo labusara ktk kujenga nchi na sikushika Dola.
 
Tangu waziri kagasheki ang'atuke kwenye kiti cha uwaziri, naibu wake ameibuka ghafla na kutaka kujionesha kama ndie mtu mwenye dawa ya ugonjwa sugu wa ujangili katika wizara hiyo. Kwa baadhi yetu, tunaona kama spidi hiyo ni gia ya kufukuzia kiti alichoachia boss wake! Lakini swali la msingi ni je, mnofu uliowashinda watangulizi wake karibia 6 yeye ataweza kuumeza?! TAFAKARI!

Nahisi kapenyeza ngawira kwenye media zinazomripoti daily, mara iringa, kidogo dar, arusha mh! Mbona hizo media haziendi Kiteto ambapo watanzania wanachinjana, vyombo vya usalama vikiwa kimya?
 
Akibahatika kuupata nae anatulia. Umesahau kipindi kile baraza jingine likitaka kubadilishwa Mwanri alivyojituma hadi akawa anaingia ndani ya makalvati?... Baada ya uteuzi ulimsikia tena wapi?

uko sawa mkuu,bt mwanri ni jembe huwezi kum-compare na huyo nyalandu...!tho anaweza kuwa na udhaifu mwingine bt anaweza kusimamia na yuko moto wakati wote.anachokosa ni full authority
 
Nahisi kapenyeza ngawira kwenye media zinazomripoti daily, mara iringa, kidogo dar, arusha mh! Mbona hizo media haziendi Kiteto ambapo watanzania wanachinjana, vyombo vya usalama vikiwa kimya?

naungana na wewe kuhisi hivyo..Hiyo attention ya media kwake inayoacha hata ishu za mapinduzi na mauaji ni ya kujiuliza.
 
Tangu waziri kagasheki ang'atuke kwenye kiti cha uwaziri, naibu wake ameibuka ghafla na kutaka kujionesha kama ndie mtu mwenye dawa ya ugonjwa sugu wa ujangili katika wizara hiyo. Kwa baadhi yetu, tunaona kama spidi hiyo ni gia ya kufukuzia kiti alichoachia boss wake! Lakini swali la msingi ni je, mnofu uliowashinda watangulizi wake karibia 6 yeye ataweza kuumeza?! TAFAKARI!

Uwezo anao kabisa wala sina shaka naye
 
Kifupi nakerwa na namna wa bongo wanavyoyachukulia mambo. Sijui lipi bora afanye Mh Nyarando. Ndio maana hawa viongozi hawajali wala kuogopa lolote kwakua wanajua aina ya fikra za Wabongo wachache wapenda kuchalenge vitu bila kuta fakari ili kujiona wamesema tuu na akili zimekalia kila kiongozi hafai hafai. Ukimpekua mtu kidogo yeye mwenyewe hata kusimamia familia yake hawezi. Wanadamu wote siwakamilifu na waadilifu ndani ya makundi ya waovu wapoo. Kila mtu asijifanye ni minzani ya mwenzake bila kujipima na yeye kwanza. Ni kweli Chama Cha Mapinduzi kina aina ya mapungufu yake lkn sidhani kama ndio dhamira ya Sera zake. Kutawla si jambo jepesi kiasi cha kila mtu kudhani anaweza ila kukosoana kwa misingi ni jambo labusara ktk kujenga nchi na sikushika Dola.

kama hujatumwa basi na uhusiano nae wa karibu..Tunachojadili ni kwamba alikuwa wap b4?
 
Anaboresha mazingira ya uwaziri!Hata kama ni mimi huu ndo ulikuwa wakati wa kujipendekeza pendekeza hata kwa Ridhione!

Chezea uwaziri wewe!
 
Anatafuta kiti huyu si ndie yule huwa anakata pochi ili wale jamaa wamwandike vzuri ili aonekane anachapa kazi jk ana akili atachuja maana hii sasa ya huyu utafikili ndio kajifunua blanketi
 
acha kumtetea maana hata yeye alitakiwa kuondoka maana na yeye ni mmojawapo wa wizara husika. Swali je! Alichukua hatua gani kwa muda wote alioteuliwa hadi hii leo?
Umenena vyema
 
fikra za wtz wengo wanawaza vyeo kuliko kazi ,nae anaosha asije akaangukiwa na kuti.angefanya hivyo kabla ya tungemwona wa maana ila sasa ni zima mto tu.
 
Kibaya zaidi anaponda tume ya mh j. Lembeli jamaa namuona kama hana nia jema ila kujitafutia ulaji tu.

Sioni ajabu kwa Nyalandu kuiponda ripoti ya Lembeli kwani kule kwao Singida sio siri kuwa Nyalandu ni Jangili!! Mara chungu nzima wanapotaka kumkamata na nyala za serikali amekuwa akiruka road blocks akiwa na wapambe wake. It will be disastrous kama Kikwete atamteua kuwa waziri kamili!!!
 
faraja kota atakuwa amefanya kazi kubwa sana ya kumshauri bebi kwamba this is the time to deliver na kwa kuwa nchi inaongozwa kwa matukio basi anaweza kumshawishi rizione na yeye kulipitisha jina lake na mshua kumpa wizara
 
kupata vyeo ccm ni kazi rahisi sana . We si umeona geresha ya migiro kushikashika jembe kiuongouongo kule kusini kumempa ubunge ! Wakati kuna wakulima wa ukweli kule MBARALI lakini hawajapewa chochote !

Daah!alafu utasikia ajira yake bado hipo Udsm-Majanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom