Mkuu ni kampuni zipi ambazo hazina utata ukishashinda?Weka mkeka tuone, mimi niliwahi kuwalaumu cashout imefika hadi 1M na haitoki kumbe kuna machaguo mengine hayakubali cashout na ipo kwenye taratibu zao ila sikuzisoma.
Mkuu acha kabisa huo uraibu ni hatar yani kuna kipindi niliumwa na nikawa mbali na simu, kiukweli niliteseka sana kulala bila mkeka unahisi wakamaria wenzako wamepiga hela iyo siku, kumbe nao wanalia tu wamechaniwa na tim moja, na ukiingia ukawa mkamalia mbobevu huachiNgoja na mimi nijifunze kubet ili yakitokea maumivu makali ya aina hii kutoka kwa member wenzangu, tuwe tunaugulia wote.
GalSport+ BetPawaMkuu ni kampuni zipi ambazo hazina utata ukishashinda?
Sijui maana kwanza lazima usome taratibu zao tofauti na hapo utakuja kuwalaumu bure kampuni zote zina taratibu,Mkuu ni kampuni zipi ambazo hazina utata ukishashinda?
Hao wana ofisi hapa Tanzania?GalSport+ BetPawa
We unataka ofisi ama malipo yasiyo na mbambambaHao wana ofisi hapa Tanzania?
Kuna mtu kakomenti hapo kuwa makampuni yasiyo na ofisi ukiwapuna wasipokulipa ukienda kwenye bodi ya michezo ya kubahatisha huwa unajibiwa hao hawajasajiliwa nchiniWe unataka ofisi ama malipo yasiyo na mbambamba
makampuni ya vichocholoniBora nilitoa hela yangu fansport, naona tangu juzi watu wanalia hela hazitoki 😀😀
Wame copy na ku paste kwa 1x bet 😁😁makampuni ya vichocholoni
hayo
GalSport na Meridianbet wana ofisi hapa nchiniKuna mtu kakomenti hapo kuwa makampuni yasiyo na ofisi ukiwapuna wasipokulipa ukienda kwenye bodi ya michezo ya kubahatisha huwa unajibiwa hao hawajasajiliwa nchini
Akiweka niite jibwa, nimekaa paleWeka screenshot ya huo mkeka maneno bila ushahidi sio