Hii kali

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,108
18,326
Jamaa mmoja baada ya kuona hapewi haki yake, ikiwa ni baada ya mkewe kujifungua mtoto, akazimia moyoni mwake kumwua yule mtoto ili mapenzi yarudi kama kale. Siku moja asubuhi sana wakati mkewe akiwa amelala akapaka dawa ya kufisha kwenye nyonyo za mkewe na akaondoKa kwenda kazini. Cha ajabu alipo rudi akakuta house boy amekufa na mtoto yu mzima. Source. Tanzania daima.
 
Imetokea hapa mtaani kwetu mrijo juu, kondoa, siku mwenge ulipolala mwaka 1981.
 
mh, huyo baba nae ana roho ngumu, yaan alitaka kuua dam yake kwa sabab hyo mxiuuuuuuuuu
 
sisomi Tanzania daima kwani siku hizi ni la Shigongo? jibu liletalo swali kwa hiyo houseboy anakula mzigo? na mtoto ni wa houseboy maana huwezi ua mtoto wako hata wa kimada wako kwa ajili ya Game tu
 
Back
Top Bottom