Hii Kali............

Njaa mbaya jamani hakuna namna tutapambana kila namna
 
please magufuri spare our pockets why you tighten like this
 
Sasa kama ametarget sadaka mbona hapo watoto ndio wengi zaidi nadhan mwenye sadaka kubwa basi ni mia mbili
 
duuuuuu.......yesu watu wako wanaongeza chumvi sasa kwenye mafundisho
yako
 
Anawaiga wakale, wenzie walionesha maajabu makibwa ya kuvuka bahari, kugeuza nyoka kuwa fimbo yeye anapaka tope kama mtoto alie jinyea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…