Hii kali!! Mahari 7.2million... Nitaweza Kweli?

Duuuh huyo mwanamke hafi au....end ana uzuri gani wa kuwwa na kuwango kikubwa hvy cha mahari????????!

Ndugu yangu wanataka kukutia umasikini axha hata kama umependa vp...mbona wanawake wapo wengi na wasiohitaji gharama hvy upande wa mahari???
 
wazo zuri######?
 
Haoo!
Break hadi ukweni, mshenga na wazazi,

Wanazama kwa mtarajiwa wangu shansarie.

Wanasomewa taratibu za kufuata!

Hapo kila kitu kinapigwa kwa hesabu
thamani inagota 7.2million ili nipewe mke....

Aisee Ndoto hii sijaielewa!
Inamaana gani?

Ni vijisenti tu!!! Kama umemzimikia mtoto toa tu.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom