shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
Hiyo ndoto ina maana utakuja kuoa bure kabisaa bila hata tone la mahari
umeona ee sina gharama kabisa
Hiyo ndoto ina maana utakuja kuoa bure kabisaa bila hata tone la mahari
Una raha wewe... kumbe shansarie Cheap hivyo.. Mi mwenzenu kwa kina Mama v walikuwa very brief, short and clear, walinambia niwajengee sheli na kuwanunulia boti mbili za abiria ziwekwe Ziwa Tanganyika... Nikatoa picha kwanza nikamchukua wife hadi leo hakuna sheli wala mtumbwi na ndo tushapata na wajukuu tayari..
acha mambo ya kipare wewe! collabo hadi kwenye ndoto?
Haoo!
Break hadi ukweni, mshenga na wazazi,
Wanazama kwa mtarajiwa wangu shansarie.
Wanasomewa taratibu za kufuata!
Hapo kila kitu kinapigwa kwa hesabu
thamani inagota 7.2million ili nipewe mke....
Aisee Ndoto hii sijaielewa!
Inamaana gani?
Hiyo ndoto ina maana utakuja kuoa bure kabisaa bila hata tone la mahari
Lady doctor umemrithi shehe yahaya?
umeona ee sina gharama kabisa
Ndg yangu , kwakua Srade yako ya kuumwa bado iko valid either active , still yet wadau wanaendelea kukupa pole , na hapa unazungumzia ndoto , nachelea kusema huenda ikawa cellebrol maleria imekimbilia kichwani !
So far hayo yatakua mauzauza.
Shemeji jamani..mbona wamtishaa mwenzio
Simtishi Shem Koku , ndg yetu tangu juzi ako sufferin Malaria , kabla haja get well enough kaja na ndoto!
Hata ww utafikiriaje?
nasikitika sana....
nakupenda sana.!
ngoja ndoto isipotimia ntakulipa...
best haka kandoto kalinizingua ujue..