kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,309
- 17,843
Haoo!
Break hadi ukweni, mshenga na wazazi,
Wanazama kwa mtarajiwa wangu shansarie.
Wanasomewa taratibu za kufuata!
Hapo kila kitu kinapigwa kwa hesabu
thamani inagota 7.2million ili nipewe mke....
Aisee Ndoto hii sijaielewa!
Inamaana gani?
Judgement, ni bora yaendelee kuwa mauza uza..
ila mi naona ni vyema kama bride price ikawa abolished kabisa!!
sometimes zinaunguza kichwa sana..
Ndg yangu , kwakua Srade yako ya kuumwa bado iko valid either active , still yet wadau wanaendelea kukupa pole , na hapa unazungumzia ndoto , nachelea kusema huenda ikawa cellebrol maleria imekimbilia kichwani !
So far hayo yatakua mauzauza.
Ndg yangu , kwakua Srade yako ya kuumwa bado iko valid either active , still yet wadau wanaendelea kukupa pole , na hapa unazungumzia ndoto , nachelea kusema huenda ikawa cellebrol maleria imekimbilia kichwani !
So far hayo yatakua mauzauza.
Haoo!
Break hadi ukweni, mshenga na wazazi,
Wanazama kwa mtarajiwa wangu shansarie.
Wanasomewa taratibu za kufuata!
Hapo kila kitu kinapigwa kwa hesabu
thamani inagota 7.2million ili nipewe mke....
Aisee Ndoto hii sijaielewa!
Inamaana gani?
Haoo!
Break hadi ukweni, mshenga na wazazi,
Wanazama kwa mtarajiwa wangu shansarie.
Wanasomewa taratibu za kufuata!
Hapo kila kitu kinapigwa kwa hesabu
thamani inagota 7.2million ili nipewe mke....
Aisee Ndoto hii sijaielewa!
Inamaana gani?
bado wangu! nameza moja moja sasa.. asubuhi na jioni.
ila afya imeimarika sana!
sikii tena maumivu yoyote!!
thank you dear