Hii 'Jeki' ya Kajala ni babu kubwa

Hii "Jeki" iliyopigwa na Kajala ni babu kubwaaaa....Hii ilipigwa siku ya uzinduzi wa filamu yake mpya.
Hakika wadada wa Dsm mambo yao ni motomotoooooooo.....Hivi hii kitu ya kubenjua hizi nyonyo kama beringi ya taili la mkokoteni ina maana gani?Kweli Dsm ina wenyewe!!View attachment 367225

Juhudi kubwa sana imefanyika kutoka ndala hadi kuwa hiviii! Hongera zake!
 
Hii "Jeki" iliyopigwa na Kajala ni babu kubwaaaa....Hii ilipigwa siku ya uzinduzi wa filamu yake mpya.
Hakika wadada wa Dsm mambo yao ni motomotoooooooo.....Hivi hii kitu ya kubenjua hizi nyonyo kama beringi ya taili la mkokoteni ina maana gani?Kweli Dsm ina wenyewe!!View attachment 367225

Wakubwa wanafaidi
 
Back
Top Bottom