Hii Jambo limekaaje

Hii Jambo limekaaje

Nini kifanyike ili iwe fresh?
Inahitaji kufanyia mazoezi , uangalizi, na kujenga uhusiano mzuri wa mawazo na hisia zako za ndani. Cha kwanza muhimu ni zoezi la utulivu wa akili(meditation) maana akili zetu huwa zinashughulika na mambo mengi ya maisha ya kila siku. Hivyo Kukaa kimya kwa dakika chache kila siku husaidia kutuliza msukosuko wa mawazo na kukufanya uweze kusikiliza ndani yako.

Intuition hutokea kila siku kwenye maisha yetu kwa namna tofauti tofauti kama kupitia mawazo yetu au hata hisia zetu ila shida tu hatujajifunza kuweza kutambua.
 
Back
Top Bottom