Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,166
- 6,175
Habari wakuu wa kuwazuka.
Unakaa sehemu au mawazo yakujia kichwani juu ya Jambo Fulani liwe Baya au Zuri kwamba linatoke au umekaa unasema MTU Fulani anakuja au upo na simu yako Kuna mambo unatazama ghafla linakuja wazo MTU Fulani atapiga simu Sasa hivi baada ya dakika 3 au 5 kweli MTU Yule anakupigia simu.
Hii kitu inaitwajwe maana binafsi nakuwaga nayo.
Msiseme mambo ya majini hapa 😂