Hii jamani ni kweli; Kuna watu bandarini wanalipwa Tsh. 18,000/=

Wahindi na Wachina wamewaharibu watu wetu kwa kuwanyonya sana to the extent sasa watu wanaona elfu 18 kwa siku ni nyingi sana kwa ''watu wenye elimu ya kawaida''. Kiuhalisia hii ni pesa kiduchu. Hata kama wanafanya na Jumamosi, hii haifiki hataTshs. 450,000 kwa mwezi.
Nyie wahinda na wachana acheni kunyanya wenzenu ,,,
 
Wapo ila sijui kuhusu hyo 18,000 mimi niliambiwa wanalipwa 9,000 kwa siku. Ni vibarua. Wanafanya kazi kuanzia sa 12 asubuh mpka sa 5 usiku. Hela hyo hyo ndo ununulie chakula na maji. Kama ni 18,000 basi ni heri.
Hapana... wanafanya kazi kwa shift tatu. Ni kweli wanalipwa 18K kwa shift. Akikomaa akafanya shift mbili anaondoka saa tano usiku na 36K
 
Kubwa sana mkuu, Tsh 18,000 per day hapa si anamshinda hata mtu skilled mwenye bachelor?
Ukubwa wake nn. Nauli kwa siku 2000,chai asubuhi job1000,chakula mchana 4000, haya home kaacha 10000 kwa kujibana sana, nauli za watoto kwenda shule 3000, kuoanga nyumba 3000.nafikiri unanielewa hakuna hela hapo
 
Aisee huku kuna watu waajabu sana au kuna watoto wengi? Hivi mtu kula 15000 kwa siku ni jambo la ajabu je angesema anakunywa bia za 15000 kila siku msingeona ajabu? Wewe ukishindia 2000 sio kila mtu ataishi hivyo au wengi wetu humu mnaishi vijijini ndo maana mmehamaki? Kuna wengine kila siku lzm aweke gari yake mafuta 20000 ili aende kazini na kurudi mtu kama huyu akikupigia hesabu yake kwa siku si utazima data
 
Usome usisome garama za maisha wote sina tuhusu na wote tunalipa kodi au we ulitaka asile vizuri kwa kuwa hakusoma?
 
Wapo ila sijui kuhusu hyo 18,000 mimi niliambiwa wanalipwa 9,000 kwa siku. Ni vibarua. Wanafanya kazi kuanzia sa 12 asubuh mpka sa 5 usiku. Hela hyo hyo ndo ununulie chakula na maji. Kama ni 18,000 basi ni heri.
Kuna shift tatu each ni 9000 on normal days weekends ni 18000 nilifanyaga kipindi flani ila siku hizi kupata hiyo shift moja ni shida na ni vigumu kupata kila siku maana watu ni wengi na kujuana kwingi
 
Kubwa sana mkuu, Tsh 18,000 per day hapa si anamshinda hata mtu skilled mwenye bachelor?
Baki hivohivo na mavi kichwani ukilinganisha vipato vya watu huku unakunya bure kwa shemeji yako,Malipo huendana na kazi yenyewe hivi umewahi ingia bandalini ukawaona makuli mzigo wanaopiga!??? +@@$'!!"""?### yako
 
Ki ukweli Mimi huwa nakula Asubuhi 3500+maji 1,500 Lunch ya 7,500+Maji 1,500.

5,000 + 9,000 =14,000 Usafiri natumia mwendokasi 650 × 2 = Sh.1,300
Vocha = 500
Kwa pesa ipi ile ile Band 8? Acha uongo jamaa

Jumla asubuhi mpaka mchana ni Sh.15,800


Nikilia na Usiku hapo sioni ukubwa wa hiyo fedha.
 
mngejua vibarua wa ubalozi wa taifa kubwa wanavyolipwa mngeandamana kabisa maana ni 6000 kwa saa
 
Back
Top Bottom