Hii iPhone siielewi

Hii iPhone siielewi

Juzi nilinunua simu aina ya iPhone NJ, nilipoiwekea simu card ikaandika emergence call. Nikabadili SIM card tena ikaandika emergence call, na chaji ilikuwa imekaribia kuisha, ilikuwa na 1% ambapo baadae ikazima kabisa.

Nikaamua kuichaji, nilipoichaji kwa muda ilionyesha inapeleka lakini nilipoiwasha haikuwaka kabisa na sasa haipeleki chaji hata kidogo na ukiishika kwa pembeni kuna kama shoti.

Je nifanyeje?
Kwanza iphone kuwa na hisia za shoti kwenye cover wakati wa kuchaji sio ubovu bali inasababishwa na Aina ya chaja inayotumia. Cover lote la iphone ni alluminium na limeiunganishwa na ground.

Kununua vitu kwenye minada ya eletronics ni utapeli wa aina yake, wale jamaa hawauzagi vitu vizima vya elektroniki. Kikiwa kizima wanapigiana dili wenyewe au wanakuja na bei ambayo sio ya mnada.

Uhuni wao, ukishalipia hawatudishi wala kubadilisha na hakuna warranty. Wanadanganya kwamba wamekichukua kwa mdaiwa kama kilivyo, wakati kuna vitu huwa wanatoa kwa mafundi vikiwa vibovu , vingine unakuta vina hali mbaya kabisa yaani SCRAPER kabisa.

Usinunue Simu wala laptop wala Tv wala chochote cha electronics kwa hao jamaa utalia bure, mimi nilishanunua simu enzi hizo Motorola V220 kimeo, nikanunua Blower Kimeo, nikanunua Simu ambayo ndani imechomwa chomwa hata cable ya screen imepachikwa juu juu.

Labda ununue GODORO au Vyombo vya plastic kwa hao wahuni.
 
Dah mkuu pole hili ni famba,mbaya zaidi kuna wapumbavu kariakoo wanauza haya masimi,laki saba saba.
 
Pole ndugu iyo sio original hakuna iphone black colour halaf log yake ikawa nyeupe
 
Juzi nilinunua simu aina ya iPhone NJ, nilipoiwekea simu card ikaandika emergence call. Nikabadili SIM card tena ikaandika emergence call, na chaji ilikuwa imekaribia kuisha, ilikuwa na 1% ambapo baadae ikazima kabisa.

Nikaamua kuichaji, nilipoichaji kwa muda ilionyesha inapeleka lakini nilipoiwasha haikuwaka kabisa na sasa haipeleki chaji hata kidogo na ukiishika kwa pembeni kuna kama shoti.

Je nifanyeje?
iPhone ya Congo iyo katengeneza ZAHERA
 
Pole sana hiyo 400k ungeingia dukani ungenunua Samsung yako nzr tu ungekuwa unavimba na ww saiz.
 
Kwanza iphone kuwa na hisia za shoti kwenye cover wakati wa kuchaji sio ubovu bali inasababishwa na Aina ya chaja inayotumia. Cover lote la iphone ni alluminium na limeiunganishwa na ground.

Kununua vitu kwenye minada ya eletronics ni utapeli wa aina yake, wale jamaa hawauzagi vitu vizima vya elektroniki. Kikiwa kizima wanapigiana dili wenyewe au wanakuja na bei ambayo sio ya mnada.

Uhuni wao, ukishalipia hawatudishi wala kubadilisha na hakuna warranty. Wanadanganya kwamba wamekichukua kwa mdaiwa kama kilivyo, wakati kuna vitu huwa wanatoa kwa mafundi vikiwa vibovu , vingine unakuta vina hali mbaya kabisa yaani SCRAPER kabisa.

Usinunue Simu wala laptop wala Tv wala chochote cha electronics kwa hao jamaa utalia bure, mimi nilishanunua simu enzi hizo Motorola V220 kimeo, nikanunua Blower Kimeo, nikanunua Simu ambayo ndani imechomwa chomwa hata cable ya screen imepachikwa juu juu.

Labda ununue GODORO au Vyombo vya plastic kwa hao wahuni.
Kwel kbsaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom