Hii iPhone siielewi

Hii iPhone siielewi

Sijawahi kuziamini iphone zote za chini ya 600k zinazouzwa mtaani.

Hata humu Jf zipo nyingi zinazurura kwenye nyuzi mbalimbali, zinauzwa mpka 300k mh!!!

Embu tuwe waungwana tuutokomeze uharamia huu.
 
Vitu vya mnada mara nyingi ni vibovu kamwe usinunue vitu vifuatavyo, smartphone, printer, Music system, TV. hakikisha unanunua kitu amabcho unaweza kukikagua hapo kwa papo bila mahitaji , ooh betri imekufa ukibadili itawaka,
Hakika yn
 
Pole kaka waweza post picha ya hio chaja yake
Chaja yake ndo hyo
IMG_20191103_121944_3.jpeg
 
Ina line ngapi za simu hio iphone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom