Martine Tibe
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 221
- 160
Ndiyo, iangalie na headphone zakePole kaka waweza post picha ya hio chaja yake
Hapa tayari nimeshapigwa ningejua pesa zangu nikazipga pombe tu au ninunua nguo tu au nikafanyia vitu vingne au nikaziacha tu. Kuliko upumbavu huuUmepigwa bro, pole sana hakuna namna.
Hakika I agree with you..fake kbsa hiiMkuu we umenunua fake IPhone na pole sana sna
Hakika nmeishtukiaMkuu mbona hii ni fake iphone 7 plus inaonekana kabisa
Hakika Yan ..nmeshalizwaMzee watu hatutunui vitu vya umeme kwenye mnada. Labda nguo.
Kwasababu na wewe ukiipeleka kwa fundi waweza kuta ndani vitu vimeungwa kwa super glue na 'solo tepu'.
Kiukweli kwa hapo mzee no way out. Ni umepigwa.
PoleNaichoma Moto kabsa au naigonga kwenye jiwe
Kumbe ni mnada R.I.P
Naichoma Moto kabsa au naigonga kwenye jiwe
Juzi nilinunua simu aina ya iPhone NJ, nilipoiwekea simu card ikaandika emergence call. Nikabadili SIM card tena ikaandika emergence call, na chaji ilikuwa imekaribia kuisha, ilikuwa na 1% ambapo baadae ikazima kabisa.
Nikaamua kuichaji, nilipoichaji kwa muda ilionyesha inapeleka lakini nilipoiwasha haikuwaka kabisa na sasa haipeleki chaji hata kidogo na ukiishika kwa pembeni kuna kama shoti.
Je nifanyeje?[/
Hii ni feki jaribu kuangalia apps zake lazima utakuta kuna playstore badala ya appstore
Mkuu cha kukigonga kwenye jiwe sio hyo fake Iphone bali kigonge kichwa chako kilichokubali kununua simu kwenye mnada!!
USHAURI
Hyo simu kaa nayo tafuta demu alokusumbuaga sana kumpata na mpka leo hujafanikiwa kisha muhonge na umle!
Au tafuta wale madem wanaojifanyaga matawi ya juu huku wanatumia Tecno afu muimbishe na mwambie ntakununulia Iphone mpya kisha kula mzigo mbwagie hyo
[emoji51] [emoji51] [emoji51]Siyo techno imevishwa cover ya iPhone kweli
[emoji1] [emoji1] [emoji1]iPhone NJ!! hizi zinapatikana koromije tu