Martine Tibe
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 221
- 160
- Thread starter
- #61
Sasa utafanyaje kama ni feki..??.haina namnaYN mambo
Sasa utafanyaje kama ni feki..??.haina namnaYN mambo
Ni feki etiee sina uelewa Zaid kwnye iPhone .Bora hz sm zngneDu , hatari sana!. Huo mzigo ni fake
Nouma Sana yan....Sijawahi kuziamini iphone zote za chini ya 600k zinazouzwa mtaani.
Hata humu Jf zipo nyingi zinazurura kwenye nyuzi mbalimbali, zinauzwa mpka 300k mh!!!
Embu tuwe waungwana tuutokomeze uharamia huu.
Ila vp ukiziona picha zake ....ni feki au maana sn utaalam na iphoneSijawahi kuziamini iphone zote za chini ya 600k zinazouzwa mtaani.
Hata humu Jf zipo nyingi zinazurura kwenye nyuzi mbalimbali, zinauzwa mpka 300k mh!!!
Embu tuwe waungwana tuutokomeze uharamia huu.
Juzi nilinunua simu aina ya iPhone NJ, nilipoiwekea simu card ikaandika emergence call. Nikabadili SIM card tena ikaandika emergence call, na chaji ilikuwa imekaribia kuisha, ilikuwa na 1% ambapo baadae ikazima kabisa.
Nikaamua kuichaji, nilipoichaji kwa muda ilionyesha inapeleka lakini nilipoiwasha haikuwaka kabisa na sasa haipeleki chaji hata kidogo na ukiishika kwa pembeni kuna kama shoti.
Je nifanyeje?
Sio NJ ,ni tyng error[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Na mm huwa sn bas tu ikatokea juzNdomana vitu used sinaga interest navyo
Exacyily hpa natumia infinix iko pow kweli yn..Kabla ya kununua smart phone unatakiwa ufanye research ya kutosha. Where to buy? Price? Specifications? and what's new in design. Siku hizi kama simu haina RAM 4 internal 64 na Infinity display sidhani kama it's worth buying. Zipo Oppo, infinix n samsung mid range series nzuri with good prices. Usikurupuke
Laki 4 ungeweza kupata iPhone 6 in good condition. Umepigwa mzee. We ugulia majeraha tu. Pole sana
Hyo ni pirate product
[emoji16][emoji16][emoji16]typng erroriPhone NJ!! hizi zinapatikana koromije tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ataichkuaje wakt hata haiwaki??Mkuu cha kukigonga kwenye jiwe sio hyo fake Iphone bali kigonge kichwa chako kilichokubali kununua simu kwenye mnada!!
USHAURI
Hyo simu kaa nayo tafuta demu alokusumbuaga sana kumpata na mpka leo hujafanikiwa kisha muhonge na umle!
Au tafuta wale madem wanaojifanyaga matawi ya juu huku wanatumia Tecno afu muimbishe na mwambie ntakununulia Iphone mpya kisha kula mzigo mbwagie hyo
hiyo ni FAMBA mkuu umepigwa...Sakasaka Mao, Nilinunua laki 4 juzi tu ila si dukani ni kwenye mnada wa vitu.
View attachment 1252584View attachment 1252585
Umeonaeee ....aiseeee no way outhiyo ni FAMBA mkuu umepigwa...
Pole mkuu ndo changamotoNa mm huwa sn bas tu ikatokea juz
Duuuuh aiseeeee ,,,let it go jombaaa.no way outNimeanza kutumia iPhone 4 hadi leo nina 7 yaani nikiona tu iPhone kwa nje kabla sijaanza kuipekua naijua hii ni fake.
Hiyo yako mkuu wala usijiulize ni mkanyanga baba. Kadai pesa yako.
Usiwaogope huu usawa ni wa Mjomba watarudisha tu mpunga.
Ahhhaa ndo hvyo ..siwez kurudisha mpunga wangPole mkuu ndo changamoto
Basi imepta hyo ..mm nmepoteza laki 4 ila kna wngne wamepteza roho zaoAhhhaa ndo hvyo ..siwez kurudisha mpunga wang
Dukani ni zaidi ya 1mDahhh ebnaeee ...aiseee.km ni OG kabsa dukan ina ngapi