Hii ingetokea Bongo sijui ingekuwaje?

huyo picha ya mwisho apewe tu maana alikuwa na dhamira ya dhati kabisa, bongo wangetoweka nalo kusikojulikana.
 
Wewe acha siasa ulinzi inamaanisha pote Sasa wadili na kioo tu halafu kwengine wasiweke ulinzi wa maana kutakuwa na maana gani sasa!!.. shida sio kioo tu shida ni ulinzi kote wa kioo na hayo malock yao
 
Ngumi zingekuwa zinapigwa eneo hilo mpaka basi
Wala si uongo, badala ya watu kuhangaika kuvunja kioo watu wangepigana wao kwa wao kwanza kila mmoja akitaka avunje yeye na arudie mpaka aseme basi
 
Wewe acha siasa ulinzi inamaanisha pote Sasa wadili na kioo tu halafu kwengine wasiweke ulinzi wa maana kutakuwa na maana gani sasa!!.. shida sio kioo tu shida ni ulinzi kote wa kioo na hayo malock yao
Haya
 
Yani hapo hata nikishindwa lzm wanitoe kwa mtutu wa bunduki siwezi kukubali kirahisi hivi ati niruke mateke mawili tu then niondoke!,niende wapi nawakati mlungula uko hapo tena ikibidi nalala hapohapo..[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Yani hapo hata nikishindwa lzm wanitoe kwa mtutu wa bunduki siwezi kukubali kirahisi hivi ati niruke mateke mawili tu then niondoke!,niende wapi nawakati mlungula uko hapo tena ikibidi nalala hapohapo..😅
🤣🤣🤣🤣
 
😂😂😂
 
Walete huku ndio watajua ile makitu wadada wanapaka kwa kichwa inapasua kioo.
Ikfika zamu ya dada anakiegemea tu,. Hela hizooooo
 
Yani hapo hata nikishindwa lzm wanitoe kwa mtutu wa bunduki siwezi kukubali kirahisi hivi ati niruke mateke mawili tu then niondoke!,niende wapi nawakati mlungula uko hapo tena ikibidi nalala hapohapo..[emoji28]
hahahaha. na ndio maana hilo jaribio alikufanyaka bongo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…