Hii inawezekana Tanzania pekee...

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
70,982
93,990
substution.png

hii ilitokea hapo shamba la bibi...
 
Aibu kwa TFF yan inashindwa kununua digital display boards karne ya 21 kweli hii inawezekana Tz tu?
 
Tumethubutu, tumeweza, tanazidi kurudi nyuma. Jk si aombe msaada wa hizo digital dislpay kwa maximo huko brazil aje nazo?
 
Yatatokea mengi sana cjui kwanini msiuze huo uwanja mmoja mkanunua vitendea kazi
 
Back
Top Bottom