Hii inaweza kuwa sababu ya kutumbuliwa kwake?

Hii inaweza kuwa sababu ya kutumbuliwa kwake?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,501
Reaction score
3,342
Siku mbili hizi akiwa huko Zanzibar, alinukuliwa akisema kuwa namba 1 atawaongezea posho wazee wa kaki.

Hiyo ni kweli na taratibu zote zilishafanywa. Ila sasa barua yenye huo muongozo pale juu ina ule muhuri mwekundu umeandikwa “RISI”.

Maana yake wanatakiwa wajue wanaohusika tu. Yeye akaona apayuke habari zile mbele ya kamera huku akijua hali halisi kuwa bado raia wana machungu ya oktoba 29.

Anywaya acheni wafu wazike wafu wenzao, bwana mapete nae amepewa ubalozi kumuondoa karibu na namba 1.
IMG_8903.jpeg
 
Back
Top Bottom