Hii inawatesa sana akina dada

Hii inawatesa sana akina dada

Wisest man

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
993
Reaction score
333
Katika ufuatiliaji wangu wa mambo ya mahusiano nikagundua kuwa wengi wa akina dada (wanawake) hupata shida wanapomvutiwa na mwanaume mzuri hasa mrefu na asiyependa kuongea, hii ni kwa sababu wanaume wa aina hii ni vigumu kuonesha hisia zake kama anapenda kitu au hapendi, hivyo wadada wengi hujichanganya kwa kutowaelewa vizuri, unaweza ukakuta mwanaume wa aina hii, anakusalimia lakini si kwa namna ya uchangamfu wa nje, wadada wengi kwa kutokuwaelewa vizuri huishia kuwaona ni watu wenaojisikia kumbe sivyo, k
 
Ndio story imeisha? Afu imeishia na herufi k? Haya bana!
 
Yaani siku hizi mtu anaamka na hangover za jana yake basi analeta hoja yake hata kama haina ulazima wowote wa kuwa hoja muhimu.
 
Kweli,mdada anajitahidi kuwa karibu na jamaa angalau amtongeze wapi mwisho anabaki kuumia tu.
 
To be honest........
sijaelewa kitu hapa nimeachwa hewani
 
Bangi hiz jaman znatupeleka vbaya sana. Teh teh! Tehe
 
Yaani siku hizi mtu anaamka na hangover za jana yake basi analeta hoja yake hata kama haina ulazima wowote wa kuwa hoja muhimu.

kama hazina ulazima kwanini umechangia? uliza tatzo ni nini? mimi nimeandika ikiwa ndefu sana lakini imekuja fupi ndo naangalia what is poblem? sorry kama imekuumiza
 
Back
Top Bottom